Baada ya Taifa Stars kutolewa AFCON tayari 'Chawa wa Mama' wameshahamisha lengo kuu (goli)

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,721
109,155
"Tumeweka historia kwa mara ya kwanza Tanzania (Taifa Stars) kutolewa AFCON na kupata alama mbili kwani huko nyuma haikuwa hivyo," amesema Chawa Mwandamizi wa Mama aitwae Mwijaku.

Chanzo: Leo Tena ya Clouds FM hivi punde.

GENTAMYCINE nilikuwa sijaelewa kumbe pesa zote zilizochangwa, Hamasa kubwa na Serikali chini ya Rais Samia na kuwapigia kote kule simu Lengo Kuu lilikuwa ni Tanzania (Taifa Stars) kumaliza na Alama (Points) mbili tu?

Ninachukia mno watu wapumbavu.
 
upumbavu Ni mzigo mkubwa Sana kwenye kila nyanja na kila kada ........japo Kuna aina ya watu Ndo maisha yao......mbali na kuuchukia pia tuulani utaleta ulemavu kwenye vizazi vijavyo
 
"Tumeweka historia kwa mara ya kwanza Tanzania (Taifa Stars) kutolewa AFCON na kupata alama mbili kwani huko nyuma haikuwa hivyo," amesema Chawa Mwandamizi wa Mama aitwae Mwijaku.

Chanzo: Leo Tena ya Clouds FM hivi punde.

GENTAMYCINE nilikuwa sijaelewa kumbe pesa zote zilizochangwa, Hamasa kubwa na Serikali chini ya Rais Samia na kuwapigia kote kule simu Lengo Kuu lilikuwa ni Tanzania (Taifa Stars) kumaliza na Alama (Points) mbili tu?

Ninachukia mno watu wapumbavu.
Genta wewe mpira unaujua sina Shaka na wewe. Lakini CCM inavyojitahidi kuua Kila kitu nchini ndivyo inavyofanya kwenye soka Kwa Sasa. Hata CAFCL na CAFCC walipokuwa wanatoa 5m na kisha 10m lengo haikuwa hamasa bali kampeni za kisiasa. Yanga ingechukua Kombe ingeonekana ununuzi wa magoli ndo chachu.
 
Back
Top Bottom