isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,146
- 6,564
Sasa mkuu haya masuala ya economic potential, Chato Airport na flyover yametokea wapi?Kwa population ya watu laki tano , chato ni wilaya ndogo sana kupokea miradi ya bil 127 peke yake, huwezi ilinganisha na wilaya yoyote ulizotaja
Halafu pia kuna swala la economic potentials za miradi , mfano ubungo flyover inaweza kutumika na walau robo ya Watanzania , sio chato airport .
Mimi nimeomba details tu! Kuongeza ufahamu imezua balaa kiasi hiki kweli?