Hii ndiyo miradi iliyofanyika Chato

Hii ndiyo miradi iliyofanyika Chato

Nilitaka nikueleweshe Ila naona ni mtu ambaye umeamua tu kutotumia common sense yako vizuri!
Mada ni chato na details mtoa Mada kaweka pale juu , tunajadili hilo, unapouliza habari ya wilaya nyingine hueleweki unataka nini.
Analialia nn hapo bado kuna
Bandari ya Nyamurenge
Chuo cha utumishi wa uma
Barabara za Lami
Gereza Chato
Hotel ya Tanapa
Mbuga ya Burugi Chato
Shama la miti la Silayo
 
Sasa bajetii ya mrafi mmoja tu kwa Dar inakuuma nini ikatekeleza miradi zaidi 7 kwa miaka 3?
Dar inatoa katibu nusu ya pato la taifa chato haitoi hata 1B ....unataka vilingane ?
Dar ina populationa karibu milion 7 wakati chato ni laki 4 tuu...
 
Mnakwenda shule kupiga ushuzi siku nzima, miaka yote, shule zote ulizopitia!

Halafu unajiona umesoma, sijui unayo digrii!

Pato la Dar es Salaam ni kiasi gani?

Kuna watu wangapi?
Achana na huyo poyoyo anatetea upuuzi alioufanya mwendazake. Chato ji ya kua na miradi yote hiyo...bajet ya bilion 127 mapato milion 100...si uzwazwa huo
 
Hiyo Billion 127 sisi huku Dar tumefanyia project moja tu ya Mfugale.. alafu Chato wanafanyia zaidi ya miradi 7...!!!
Unafananishaje Dsm na Chato? Hao Chato wamepewa fedha mpaka zimezid na mapato yao kwa mwaka hayafiki hata Bili 2!

Matumizi mabaya ya fedha za Watanzania.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Binadamu sisi ni wanafiki sana,Yaan umeona miradi ya chato tu?.Dar,Moro,Pwani,Dom,Arusha nk huko nako vp?
Hiyo mikoa uliyotaja ina idadi wa wananchi wangapi? Na wana uwezo wa kukusanya mapato kiasi gani kwa mwaka?

Acha kulinganisha Jiji/Manispaa na huko kijijini ambako wamepewa fedha mpaka zimezidi.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom