Hii ndiyo miradi iliyofanyika Chato

Hii ndiyo miradi iliyofanyika Chato

Hiyo Billion 127 sisi huku Dar tumefanyia project moja tu ya Mfugale.. alafu Chato wanafanyia zaidi ya miradi 7...!!!
Mfugale ni grant kutoka kwa mjapani, kawadanganye wajinga
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Mkuu unazingua ndo nyie nyerere hakufanya maendeleo kwao huwa mna mponda pia hamna jema acha tanzania ijengwe pole pole sehemu moja moja mwisho tutamaliza kote shida ikwapi

Sio Nyerere,ata mkapa kwako Lupaso watu walibeza na wanaendelea kubeza mpaka leo
 
Hiyo Billion 127 sisi huku Dar tumefanyia project moja tu ya Mfugale.. alafu Chato wanafanyia zaidi ya miradi 7...!!!
DSM ina wakazi (population) karibu milioni 7 sasa....

Acha kulinganisha DSM na Chato yote mjini na vijijini yenye watu wasiozidi 400,000...!!
 
Mkapa hakujenga kwao mkamponda na matusi juu, mtanzania hana jema kabisa, kwan ivyo vyote kaondoka navyo si kawaachia wakaazi
 
Mlimsikia yule mzee wa Chato aliyetoa salamu za wazee wa Chato siku ya maziko ya JPM Chato ilikuwa inaandaliwa kuwa mkoa
 
DSM ina wakazi (population) karibu milioni 7 sasa....

Acha kulinganisha DSM na Chato yote mjini na vijijini yenye watu wasiozidi 400,000...!!
Sasa bajetii ya mrafi mmoja tu kwa Dar inakuuma nini ikatekeleza miradi zaidi 7 kwa miaka 3?
 
Yaani fedha iliyoombwa ni ndogo kuliko iliyoletwa ? Yaani wanaomba kidogo wanapewa na nyongeza ?

Kweli ndugu zangu tuliibiwa kweri kweri....
 
Tuwe wazalendo, tutunze amani yetu, umoja wetu ni tunu, wao wanachota, sisi na amani, uzalendo tumtangulize Mungu mbele!
 
Mimi sijaona tatizo hapo mlitaka asifanye maendeleo kwake ili akifa mmpondeo
Ama kweli binadamu kazi
 
Back
Top Bottom