Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,812
- 40,419
Wewe tupe ya Tandahimba, Nkasi, Namtumbo, Ukerewe na Kakonko.Binadamu sisi ni wanafiki sana,Yaan umeona miradi ya chato tu?.Dar,Moro,Pwani,Dom,Arusha nk huko nako vp?
Wewe tupe ya Tandahimba, Nkasi, Namtumbo, Ukerewe na Kakonko.Binadamu sisi ni wanafiki sana,Yaan umeona miradi ya chato tu?.Dar,Moro,Pwani,Dom,Arusha nk huko nako vp?
Kwahiyo unalinganisha Majiji, Mikoa mikubwa na kauchochoro ka Chato? Kwanini usifananishe Chato na Tandahimba?Mkuu kama unazo details za Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma, Mwanza, Mbeya na Pwani za hivi naomba.
🤣🤣🤣Ni kama vile Mwendazake amechukuliwa ili kupisha uchunguzi....
👏👏👏Imetajwa wilaya sio mkoa! Pia ni wilaya ambayo haiko ndani ya jiji.
Kwahiyo kama ni kulinganisha inatakiwa uoneshe ni wilaya ipi nyingine iliyo vijijini iliyopokea miradi mingi kama hiyo ya chatu
Sasa Chato ni Mkoa? Hivi shule mlikuwa mna soma madudu gani?Binadamu sisi ni wanafiki sana,Yaan umeona miradi ya chato tu?.Dar,Moro,Pwani,Dom,Arusha nk huko nako vp?
Thibitisha nimelinganisha!Kwahiyo unalinganisha Majiji, Mikoa mikubwa na kauchochoro ka Chato? Kwanini usifananishe Chato na Tandahimba?
Be serious pls..
Mtu kwao viongozi wajifunze!Hii ndio chatoView attachment 1737975
Point yako inalenga nini Mkuu?Hiyo Billion 127 sisi huku Dar tumefanyia project moja tu ya Mfugale.. alafu Chato wanafanyia zaidi ya miradi 7...!!!
Unavyosema ziletwe takwimu za huko na sio Tandahimba, Mpwapwa, Kasulu ulikuwa na maana gani?Thibitisha nimelinganisha!
Nimeweka thamani haijalishi inetoka wapMfugale ni Japanese grant
Nakumbusha tu
Nahitaji kufahamu maeneo mbalimbali yamefanya ukarabati na miradi gani kwa kiasi gani basi.Unavyosema ziletwe takwimu za huko na sio Tandahimba, Mpwapwa, Kasulu ulikuwa na maana gani?
Kwa population ya watu laki tano , chato ni wilaya ndogo sana kupokea miradi ya bil 127 peke yake, huwezi ilinganisha na wilaya yoyote ulizotajaWapi nimelinganisha? Mimi nimeomba details nifahamu miradi ya maeneo mengine. Kwani nimezungumza chochote!
Tovuti rasmi ya Tamisemi inaeleza Chato ni wilaya sawa na wilaya ya Tabora, Mtwara, Kisarawe, Kinondoni, Kigamboni, Katavi and co.
Uchaguzi wa viongozi hapa ni kama kujaamiana. kama ukijaamiana kwa utimamu wa mwili na akili, unatengeneza na kuimarisha mahusiano mazuri;kama ukilazimisha, unamuumiza mwenzako, unakera, unachukiza , unamchubua mwenzako na kama ni upande mmoja tu unashiriki katika hilo tena, wanaita kupiga punyeto politikali (kujichua).Hii ndio chatoView attachment 1737975
Rombo umeme upo kabla hata Magufuli hajaanza kupokea Salary ya Ualimu.. Sasa sijui unamaanisha umeme upi huo wewe..Lami mpk chooni yaani nimemkubali huyu baba...!!kuna wabunge na viongozi wengi wanarudi makwao kipindi cha uchaguzi au wakifa ndo maana hawakumbuki kwao!Magufuli kajenga kwao kawaumbua kina kikwete,Majaliwa,Membe na Mkapa.
Usisahau Basili Mramba alitenga robo bajeti kupeleka umeme kwao
For the record namtumbo inaweza kuwa kubwa kuliko chato .ila ndo duuh !!! Majanga! hata airstrip hakuna .Unataka kulinganisha miradi ya Dar na Chato..!!! Aisee...!!! Linganisha Chato na Namtumbo
Anzisha uzi wako mkuu utakuja kusaidiwa huko.. Hapa tupo na Chato..Nahitaji kufahamu maeneo mbalimbali yamefanya ukarabati na miradi gani kwa kiasi gani basi.
Kama unazo details za Tandahimba, Mpwapwa, Kasulu na sehemu yoyote nisaidie mkuu.
Sasa hivi hawafutiHuu uzi wakiuona mods, wataufuta! Sijui mmoja wao anatokea huko Chatu!!