Maono ya utekaji pengine!Wenyewe walimuita MBEBA MAONO WAO pathetic [emoji34]
KabisaHiyo Billion 127 sisi huku Dar tumefanyia project moja tu ya Mfugale.. alafu Chato wanafanyia zaidi ya miradi 7...!!!
Hizo roho alizozipoteza ataenda kuzitolea hesabuMaono ya utekaji pengine!
Hiyo ni mikoa/majiji.Binadamu sisi ni wanafiki sana,Yaan umeona miradi ya chato tu?.Dar,Moro,Pwani,Dom,Arusha nk huko nako vp?
Yes! Na Chato ni Wilaya mpya, hivyo tulinganishe na Nyang'wale, Kyerwa, nk!Imetajwa wilaya sio mkoa! Pia ni wilaya ambayo haiko ndani ya jiji.
Kwahiyo kama ni kulinganisha inatakiwa uoneshe ni wilaya ipi nyingine iliyo vijijini iliyopokea miradi mingi kama hiyo ya chatu
Wewe ni mgumu kuelewa.Mkuu wapi nimesema chochote kuhus haya?! mimi nimeomba details kusudi nifahamu details mbalimbali katika miradi ya maeneo mengine. Sijazungumza kingine wala kusema chochote.
Oke, naomba details za wilaya ya Kinondoni, Temeke, Kigamboni, Ubungo, Morogoro Mjini, Dodoma Mjini, Ilala, Ilemela, Mbeya Mjini, Kisarawe, na Bagamoyo.
Unajua population ya hizo wilaya?iv utalinganisha huduma hizo zilizopelekwa chato kwa watu almost lak nne tu uifananishe hata na kinondoni?hakukuwa na balance kt kuanzisha hyo miradi,huo ulikuwa tu upendeleo kwake,mfn huo uwanja wa b ,39 cjui ni ndege gani itaenda kutua huko maana inasemekana hata wala wanyama washaamia Rwanda ko kivutio cha watalii nacho kimetwaliwaMkuu wapi nimesema chochote kuhus haya?! mimi nimeomba details kusudi nifahamu details mbalimbali katika miradi ya maeneo mengine. Sijazungumza kingine wala kusema chochote.
Oke, naomba details za wilaya ya Kinondoni, Temeke, Kigamboni, Ubungo, Morogoro Mjini, Dodoma Mjini, Ilala, Ilemela, Mbeya Mjini, Kisarawe, na Bagamoyo.
Iliendeshwa kwa Hasara ya shingapi mkuuHii ndio chatoView attachment 1737975
Inaudhi vipi. Wilaya changa hutumia pesa nyingi kuliko wilaya za zamani, kwa sababu kila kitu hawana. Ukitaka sawa unaotaka kuonyesha hatutafika, kwa sababiu siyo Chato tuiliyotumia billioni 127. Kuna wilaya zilizotumia billioni 300 hadi 500.Inaudhi sana.
Wakazi laki tano tu
Matumizi bilioni 127.
Halafu wanavijumba vya udongo.
Mkuu ile attachment imeyeyuka, tuletee tena. Ikiwezekana tupe link kama ni for public consumption.Kanda pendwa na Jpm(RIP).
Kuna uzi niliweka hapa wadau watume picha na video za miradi ya chato mods wakaifuta bila sababuHii ndio chatoView attachment 1737975
una akili kubwa sana mkuuHiyo miradi ingekua Geita, walau ingeleta maana...
Kweli inatakiwa ilinganishwe na wilaya kama Nyasa au Namtumbo tuone kama keki ya taifa ilikuwa ikigawiwa kwa usawa ama la.Imetajwa wilaya sio mkoa! Pia ni wilaya ambayo haiko ndani ya jiji.
Kwahiyo kama ni kulinganisha inatakiwa uoneshe ni wilaya ipi nyingine iliyo vijijini iliyopokea miradi mingi kama hiyo ya chatu
Mkuu ongezea na miradi ifuatayo ambayo baadae tutapata bajet zake maana ulizoweka nyingi zipo chini ya TamisemiHii ndio chatoView attachment 1737975
Angalia mapato ya Dar na ya ChatoHiyo Billion 127 sisi huku Dar tumefanyia project moja tu ya Mfugale.. alafu Chato wanafanyia zaidi ya miradi 7...!!!
Duuh hii miradi ni ya kufanywa katika level za mkoa sio kiwilaya kama ChatoBado kuna
Bandari ya Nyamurembe
Chuo cha utumishi wa Uma
Gereza Chato
Hotel ya Tanapa
Shamba la miti la Silayo
Mbuga ya wanyama Burigi chato
Barabara za Lami