Hii Ndiyo Ilikuwa Msaada na VPN Haikuwa Msaada?

Hii Ndiyo Ilikuwa Msaada na VPN Haikuwa Msaada?

Kuna mandezi wengi sana mtandaoni, nahisi wengi humu ni vijana zetu wadogo sana.

Hawa ni wale ambao akipata kitu kipya na kigeni lazima awaonyeshe wenzake.

Karibu kila mtu alikuwa akipost aina ya VPN anayotumia, hapo nikaanza kujiandaa ikiwa wajomba wa switch wakizima itakuwaje, maana watazuia engo zote.

Sasa bana, siku moja kabla ya uchaguzi nilisearch web gani naweza kutumia ikiwa mtandao umefungwa nikapata moja hivi ambayo kwa uzembe usiku nikasahau kuidownload.

Na mimi nikapigwa lokoo ndiyo hadi leo.

Nilichojifunza ni kuwa watanzania pamoja na uoga tulio nao hatuwezi kukaa kimya kwa jambo ambalo linaweza kuwa faida kwa wakati ujao.
Mkuu,

Ukikatiwa internet access kuna web au app gani utatumia ili kuwa online?

How is that possible?
 
Yeye mwenyewe pia hajui mkuu! Ni jambo haliwezekani.
Ingawa kwenye Teknolojia lolote linaweza kutokea ila hiyo ni ngumu
Ilizimwa kabisa kwa baadhi ya mtandao Ila mwingine ilikuwa partial, sema wengi wenu mlikuwa mnatumia zili vpn za proxy hizo kwa mtandao Kama airtel ziligoma na ndio mkadhani wamezima kabisa.
 
Mtandao ukizimwa huwezi kufanya lolote mkuu kama unatumia laini ya simu kupata mtandao
T14 Armata ameelezea hapo
Kwahiyo huyo jamaa anayesema alitumia eti "VPN mpya siyo zile ambazo zimezoeleka" huyo ni mzushi
JF kuwajua wazushi huwa ni kazi rahisi sana, kwanza huwa hawana reputation na unakuta ni ka-ID kageni kanaleta mambo ya Facebook.

Na huwa hawana facts, utasikia "VPN mpyampya" wanabumba mambo tu.
 
TCRA ilielekeza makampuni yote yenye leseni Tanzania kufanya filter ya maneno
Kuzima DATA kabisa
Mwanzo Cellular zilizima zikabakia Satellite na Fiber, baadae wakakata pote.
Waliobaki hewani ni wale ambao walikuwa wakitumia starlink au satellite internet ambazo hazijasajiliwa Tanzania
Tunazijuaje hizo ili ikitokea tutumie?
 
Back
Top Bottom