Kikapuu
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 1,202
- 1,754
Sio mtandao yote ilizimwa Kuna baadhi ilikuwa ipo chini Ila tuliboost kwa vpnNyumbu hamna mjualo. Mtandao ukifungwa hakuna kitu utafanya. Usichanganye internet na social media. Bata wahed
Sio mtandao yote ilizimwa Kuna baadhi ilikuwa ipo chini Ila tuliboost kwa vpnNyumbu hamna mjualo. Mtandao ukifungwa hakuna kitu utafanya. Usichanganye internet na social media. Bata wahed
Kama upi huoo mkuu,Sio mtandao yote ilizimwa Kuna baadhi ilikuwa ipo chini Ila tuliboost kwa vpn
Sio mtandao yote ilizimwa Kuna baadhi ilikuwa ipo chini Ila tuliboost kwa vpn
Tigo, ttcl na airtelKama upi huoo mkuu,
Ila mitandao ya kipuuzi kama halotel ndo tuliona motooh 😮
Sikudanganyi mie Nina laini zote za mtandao, nilitest zote kwa protocol tofauti na nikafanikiwaWalizima internet weeeye. Sio mitandao
Nini tena mkuu?Yaliyonikuta acha tu! Am in shock anyways!!
Nmeangalia ile page ya muuaji😰🤦🏽♀️Nini tena mkuu?
Duuuh aiseee me sijaenda huko bado maana nimegundua mtandao uko on hii jioniNmeangalia ile page ya muuaji😰🤦🏽♀️
Ulitumia vpn ganiSikudanganyi mie Nina laini zote za mtandao, nilitest zote kwa protocol tofauti na nikafanikiwa
Ilizimwa kwa Data connection tu.Wifi zilikuwa bien.Baadhi ya taasisi zilikuwa na internet mbona ilizimwa wa wananchi tu
Mi pia! Ukiingia kule hutolala… ni kupanic kulia tuDuuuh aiseee me sijaenda huko bado maana nimegundua mtandao uko on hii jioni
Ile hospital ni network sio internet,kama sijakoseaHospital nyingi hawakuzima
Duuuh so sadMi pia! Ukiingia kule hutolala… ni kupanic kulia tu
Unajua kitu kinaitwa mkongo wa taifa?Kuna mandezi wengi sana mtandaoni, nahisi wengi humu ni vijana zetu wadogo sana.
Hawa ni wale ambao akipata kitu kipya na kigeni lazima awaonyeshe wenzake.
Karibu kila mtu alikuwa akipost aina ya VPN anayotumia, hapo nikaanza kujiandaa ikiwa wajomba wa switch wakizima itakuwaje, maana watazuia engo zote.
Sasa bana, siku moja kabla ya uchaguzi nilisearch web gani naweza kutumia ikiwa mtandao umefungwa nikapata moja hivi ambayo kwa uzembe usiku nikasahau kuidownload.
Na mimi nikapigwa lokoo ndiyo hadi leo.
Nilichojifunza ni kuwa watanzania pamoja na uoga tulio nao hatuwezi kukaa kimya kwa jambo ambalo linaweza kuwa faida kwa wakati ujao.
Wafanyakazi hospitalivwalikuwa wanaitumia piaIle hospital ni network sio internet,kama sijakosea
Huu ni uzushi?Vpn ambazo ni mpya sio zile zinazojulikana
Wewe ulikuwa live niniHuu ni uzushi?