Mtalebani Mweupe
JF-Expert Member
- Mar 12, 2020
- 566
- 656
Internet ilikuwa inapatikana Kwa wenye VPN ya Thunder na VPN ya Psiphon. Watu walikuwa wanatumia mpaka Juzi wakazima na zenyewe.
Kwa Thunder VPN watu walikuwa wanatumia free severs hizo nne.
Na kuna VPN nyengine watu ni wachache walikuwa wanazijua zilikuwa zinasaidia.
Wengine walikuwa wanatumia esim za nje, walikuwa wanapata Data.
Kama hujui Internet ikizimwa watu wanapataje Data, tembelea pages za Telegram huko huwa wanafundisha sometimes.