Hii Ndiyo Ilikuwa Msaada na VPN Haikuwa Msaada?

Starlink na nyingine ni mtu ananunua sat dish na kufunga kwake, ila TCRA wakikudaka ni shida unapewa Uhujumu Uchumi
kimfano ukanunua ukavuka nayo tz kwa magendo ukaanza kutumia, there is any way tcra to detect you?
 
Internet ilizimwa au walipunguza spidi? Kuna muda nilikua nikiwasha data labda nikaingia instagram feeds za juu juu zinakuja ila siwezi ku-scroll down zaidi.

Nikiingia google labda nika-search maandamano tz. Zinakuja publish za DW, BBC, youtube n.k ila nikiplace ili kuingia nisome ndio network inabaki inazunguka tu
 
Nahisi waliishusha chini kwa baadhi ya mitandao mfano Vodacom nilikuwa nikiwasha VPN inakubali ila haiku-connect wakati halotel iligoma kabisa
 
Back
Top Bottom