Salumu45
Member
- Mar 10, 2020
- 54
- 82
NI kweli mkuu tulioangalia kupitia Azam tulipatwa na Hilo tatizoMe nimeangalia kupitia DStv sijaona Hilo tatizo.
NI kweli mkuu tulioangalia kupitia Azam tulipatwa na Hilo tatizoMe nimeangalia kupitia DStv sijaona Hilo tatizo.
Naona maumivu yako ya Arsenal umeamua uamishie huku RobidinyoWasafi Media ni Utopolo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi Wasafi siipendi naangalia KING KIBA TV hasa vipindi vya Uchawi