Hii ndio Wasafi inayosifiwa?

Hii ndio Wasafi inayosifiwa?

Sound kweli inazingua.. Nimeshindwa endelea tizama. Warekebishe
..

Alafu ina stutter...

Mond Bin Laden em rekebisha mapungufu hayo.
 
Mtoa mada kaangalia YouTube kweli Youtube sauti ilikuwa inazingua ila kwa sisi tuliangalia kwenye tv Hilo tatizo lilikuwa alipo.
 
Wabongo tuache roho mbaya, nikweli shoo bado ina baadhi changamoto kama sauti. Ila kiukweli lazima tuwapongeze wasafi,show ni ya kijanja sana kuna mapinduzi makubwa kwangu nimeyaona kuanzia stage, performance, na entertainment nyingine nyingi, Show haichoshi.

Big up Wasafi
 
Hii ni mara ya kwanza kuangalia hii channel... Na ndicho nilichokifanya nacho si swala la roho mbaya ukweli usemwe ni udhaifu kipindi kizima cha zaidi ya 40' tena live hakina sauti....
 
Sasa kibakuli anatokea wapi hapo....
Umeongea kishabiki Sana Wasafi tv hakukuwa na tatizo la sauti kabisa sauti ilikuwa clear kabisa Kama ulivyoeleza kwenye uzi wako labda useme uko kwenye YouTube ambako me sikuiangalia.
 
Sasa mkuu na waliolalamika nao ni ushabiki alafu ili nifaidike nini mkuu.... Tufanye sound ilikua poa kabisa kiongozi namuonea wivu tu... Ila kama wahusika wapo na wanaona walifanyie kazi.
 
Wewe umetudanganya kwa kusema wasafi kulikuwa na tatizo la sound wakati tuliangalia wasafi tv hatukuona Hilo tatizo na sound ilikuwa clear kabisa ungesema specific labda YouTube kulikuwa na Hilo tatizo watu wangekuelewa kwasababu asilimia kubwa humu tumeangalia Wasafi Tv
 
Youtube ndio kulikuwa na tatizo hilo ukitazama kawaida ukitumia earphone ilikuwa unaskia kawaida
 
Tuelewane kiongozi youtube naijua usilazimishe niseme unavyojua wewe.... NAAMANISHA CHANEL YA WASAFI KATIKA KING'AMUZI CHA AZAM.... hayo ya yutube ni yako na ungeyasemea kwa muda wako yangu mimi ni hayo na maanisha hayo fungua uzi eleza ukweli mwingine.
 
Sijui kama youtube ina tatizo hilo nilichoandika ndicho nilichokimaanisha
 
Tuelewane kiongozi youtube naijua usilazimishe niseme unavyojua wewe.... NAAMANISHA CHANEL YA WASAFI KATIKA KING'AMUZI CHA AZAM.... hayo ya yutube ni yako na ungeyasemea kwa muda wako yangu mimi ni hayo na maanisha hayo fungua uzi eleza ukweli mwingine.
Me nimeangalia kupitia DStv sijaona Hilo tatizo.
 
show ya kijanja sana, yaani hapa homa wakajipange ili kuleta walau ushindani kiduchu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom