Hii ndio tech. ya kibabe dhidi ya starlink...'STARLINK KILLER'.

Hii ndio tech. ya kibabe dhidi ya starlink...'STARLINK KILLER'.

The Dictator

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
4,347
Reaction score
11,849
images (33).jpeg

"Kalinka & Tobol" ni mifumo ya kivita ya kielektroniki (EW) ya Urusi ambayo hivi karibuni imepata umaarufu kwa madhumuni yake ya kugundua na kuvuruga mawasiliano ya satelaiti, hasa yale ya Starlink, wakati wa migogoro.

Kalinka: Mfumo huu ni wa kisasa zaidi na uliundwa mahsusi kukidhi mahitaji ya vita vya sasa. Umeundwa kugundua na kuingilia mawasiliano (signals) yanayokwenda na kutoka kwenye satelaiti za Starlink, kwa lengo la kuvuruga operesheni za droni za adui na mawasiliano ya kijeshi.

Katika baadhi ya ripoti, mfumo huu umetajwa kama "Starlink killer" (muuaji wa Starlink).

Tobol: Huu ni mfumo mwingine wa Urusi wa kivita wa kielektroniki uliowekwa ardhini wenye malengo sawa ya kimkakati: kuingilia mawasiliano yanayotegemea satelaiti.

Gex5vffWEAAf-9v.jpg

Mifumo hii hutumia teknolojia ya kuzuia mawimbi (jamming) ili kuzuia vifaa vya adui visiweze kupata intaneti au mawasiliano ya siri kupitia angani, jambo ambalo ni muhimu sana katika uwanja wa vita wa kisasa.
 
Yaleyale ya S400, S500 kwmb inaona mpk sisimiz ardhini mpk uturuki akayanunua hayo ma chuma chuma, vita ya ukraine imeyavua nguo kbs mpk uturuki anataka yarudsha arudshiwe pesa yake anunue mfumo toka marekani na apewe ndege vita F 35, kwmb huo mfumo wkt madulo anadakwa ulishndwa nn tumika kuinglia mawasiliano ya special forces wa USA? meli ya urusi ya pili leo imedakwa bila mawasiliano USA wasngefanikiwa kuidaka huo mfumo ulikuwa wp kuingilia mawasliano ya wanajesh wa marekani..
 
Ni kweli hizi kiboko
Maana zile HIMARS zote hatuzisikii siku hizi ndio maana myukreni anachapika hasa sasa

1768175677902.png
 
Yaleyale ya S400, S500 kwmb inaona mpk sisimiz ardhini mpk uturuki akayanunua hayo ma chuma chuma, vita ya ukraine imeyavua nguo kbs mpk uturuki anataka yarudsha arudshiwe pesa yake anunue mfumo toka marekani na apewe ndege vita F 35, kwmb huo mfumo wkt madulo anadakwa ulishndwa nn tumika kuinglia mawasiliano ya special forces wa USA? meli ya urusi ya pili leo imedakwa bila mawasiliano USA wasngefanikiwa kuidaka huo mfumo ulikuwa wp kuingilia mawasliano ya wanajesh wa marekan
Mbona kama uko frustrated?
 
kwa lipi? Nlichoandka najua hujakielewa kwasababu ufahamu wako ni mdogo sn, kukaa kmy nako ni hekma na pia ni jbu nadhan ungechagua hlo kuliko mazandara uliyoandka kwa kuhisi tu. Au ww ni mke wn
Bado umepanic br.
 
Yaleyale ya S400, S500 kwmb inaona mpk sisimiz ardhini mpk uturuki akayanunua hayo ma chuma chuma, vita ya ukraine imeyavua nguo kbs mpk uturuki anataka yarudsha arudshiwe pesa yake anunue mfumo toka marekani na apewe ndege vita F 35, kwmb huo mfumo wkt madulo anadakwa ulishndwa nn tumika kuinglia mawasiliano ya special forces wa USA? meli ya urusi ya pili leo imedakwa bila mawasiliano USA wasngefanikiwa kuidaka huo mfumo ulikuwa wp kuingilia mawasliano ya wanajesh wa marekani..
Mifumo iko sawa, ila watu wananunuliwa!. Mfumo bila kuwa online standby utafanyaje kazi?
 
Yaleyale ya S400, S500 kwmb inaona mpk sisimiz ardhini mpk uturuki akayanunua hayo ma chuma chuma, vita ya ukraine imeyavua nguo kbs mpk uturuki anataka yarudsha arudshiwe pesa yake anunue mfumo toka marekani na apewe ndege vita F 35, kwmb huo mfumo wkt madulo anadakwa ulishndwa nn tumika kuinglia mawasiliano ya special forces wa USA? meli ya urusi ya pili leo imedakwa bila mawasiliano USA wasngefanikiwa kuidaka huo mfumo ulikuwa wp kuingilia mawasliano ya wanajesh wa marekani..
kichwa pumbu wewe unaleta ulokole mavi
mabwana zako wamekubali zimefinywa halafu wewe mnajilinji wa nantumbo unajua za uvunguni

Back
Top Bottom