Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 6,874
- 10,590
Why does that even matter? Kuna kitu kinaitwa psychological warfare. Huwezi kuingia vitani halafu ukamuambia adui, “kukuchakaza itatuchukua muda mrefu sana”. Warring states do not do that!Kwa hiyo intelijensia ya urusi haikujua kwamba ulaya itaingilia? Mbona ukraine ilijua kwamba Putin atasaidiwa na Iran, north korea, china.....?