Kweli afya nzuri ni starehe ya mwili ila huo mwili utahitaji kitu fulani ili akili isichoke . Labda kwa lugha ingine " pleasure" unaweza ukawa na pesa zote hapa duniani lakini ukikosa hiyo raha bado hujakamilika , ni raha ipi ? Afya inapaliliwa na hiyo raha . Sio siri mimi binafsi nikipata sex ya halali najisikia nipo mbinguni , nakuwa mwepesi na kazi inaenda sawa na mawazo yote nayazika kwenye kaburi la kina kirefu
Tuko pamoja mkuuu...ndio pleasure hatari duniani acha tuu.