joely sandu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 1,962
- 1,819
ata ukiwa kwenye nyumba ya kupanga ikiwA unavizia raia wote wamelala utaenjoy paka basiHahahha Labda kwenye Choo chako Sio nyumba ya kupanga
ata ukiwa kwenye nyumba ya kupanga ikiwA unavizia raia wote wamelala utaenjoy paka basiHahahha Labda kwenye Choo chako Sio nyumba ya kupanga
Kukata gogo ndio moja ya afya njema pia,.unataka kuniambia kukojoa(mkojo Mdogo)sio starehe/raha???vyote hivyo vinavyo mfanya binadamu ku-relax kiakili kimwili na hata kiroho hiyo ndiyo AFYA NJEMA yenyewe.asa nawashangaa hawA watu wanaosema sujui nini itakûwa hawajui maana ya starehe kukata gogo ni noma
kitu ukiwa nacho huona cha nini lkn kikutoke hata nusu yake! utaujua umuhimu wake na kuimarisha ulinzi ili kisiharibike.. watu tupo wa kariba tofauti tofauti,hivyo sitegemei kila mmoja kunielewa vilivyo.Aliyekwishasumbuliwa na afya yake tu ndiye atakuelewa ila wenye afya njema constant wanaona kawaida tu. Kwao hakuna jipya hapa!!
Huenda ukapata wkt mgumu sana kunielewa lkn sidhani kama unastahiri hivyo..Mimi sijaona raha ingine kizidi papuchi hapa duniani
Wale wajinga sana, wanamtegemea neymar afanye maajabu kumbe hakuna kitu.Hahaha Neymar kafungashwa virago. Ila walipiga mwingi second half.
Wale wajinga sana, wanamtegemea neymar afanye maajabu kumbe hakuna kitu.
Acheni kuaribu uzi wa watu sio ustaarabu.Ile penalty walionyimwa ingebadilisha game. Ila Jana hazard alimfunika Neymar vibaya mno. Chengine Brazil walitakiwa kumimina mapande kibao wao Kila muda wanataka combination play na dakika Kumi za mwisho Ile upande wa costa wangempandisha yule believe wao watengeneze overload wangepata goli
Acheni kuaribu uzi wa watu sio ustaarabu.
Afya ndo maisha yenyewe bila afya hakuna life
AhsanteChukua like, kisha njoo nikupetipeti kwa raha zako.
Mkojo mdogo ni upi? Tuanzie hapa kwanzaKukata gogo ndio moja ya afya njema pia,.unataka kuniambia kukojoa(mkojo Mdogo)sio starehe/raha???vyote hivyo vinavyo mfanya binadamu ku-relax kiakili kimwili na hata kiroho hiyo ndiyo AFYA NJEMA yenyewe.
Ahsante
Starehe ni jambo la kuuburudisha mwili/mwili kujisikia burudani.. nje na kunywa vilevi,tendo la ndoa,kula,kunywa n.k
kuna jambo moja limesahaulika ambalo ndio msingi mkuu wa starehe zote mtu azifanyazo nalo ni kuwa na AFYA NJEMA.
Mtu asikudanganye hakuna starehe kama kujisikia na afya njema,utulivu wa mwili..
huo ndio msingi wa starehe,ni raha iliyoje kumuona umpendae ni buheri wa afya au wewe mwenyewe kujisikia ni buheri wa afya..?
Pesa ni kibwagizo cha starehe tu lkn ukweli ni unaweza kuwanazo na usijisikie raha ya maisha!,nachopenda kuwahasa watanzania wenzangu tuhakikishe afya zetu zinakuwa njema kwa manufaa ya kwetu na wale tuwapendao..
Kunya imekuwa starehe toka lini? It's more of a relief than starehe.starEHE isio na garama na kila mwanadamu ladhima aifanye ni kunya peke yake uwe mgonjwa uwe mzima lazima unye