theHAVARD_product
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 297
- 211
Anajinufaishaje na NHC? unajua kuwa NHC mapato na thamani yake vimepanda kwa juhudi za Mchechu?Mchechu anatumia mgongo wa shirika letu wote kwa pamoja kuijinufaisha yeye na vigogo wenzake
Anajinufaishaje na NHC? unajua kuwa NHC mapato na thamani yake vimepanda kwa juhudi za Mchechu?Mchechu anatumia mgongo wa shirika letu wote kwa pamoja kuijinufaisha yeye na vigogo wenzake
Mhh! Kupambana kupi bro et kesho ukawa na Benz! Embu tupe hizo njia maana Kama kupambana tunapambana kwelkwel
Unaweza ukakaa msakai lakini ukawa na mawazo ya uswahilini pia. halafu nilmeshamjibu ila wewe hujui kma nimeshamjibu ama hapana. Ni sawa pia unaweza ukawa umesoma lakini hujaelemika.Haya wewe unaekaa Masaki mjibu basi kwa hoja za msingi,hapo juu hujajibu lolote la maana zaidi ya kuleta dharau kwa Wakazi wa uswahilini.
mwambie kwake ni huku wamesha kuambia affordable kKabla ujatoa lawama kwa mchechu ujiulize wanapataje vifaa vya ujenzi? Kama watapunguziwa kodi kwenye vifaa vya ujenzi na ardhi wakapata kwa gharama nafuu basi hizo gharama zitapunguwa.
Pia ulitakiwa kuzingatia kuwa gharama huendana na mahali ardhi ilipo. Ardhi ina gharama kulingana na mahala.
Haya wewe unaekaa Masaki mjibu basi kwa hoja za msingi,hapo juu hujajibu lolote la maana zaidi ya kuleta dharau kwa Wakazi wa uswahilini.
mwambie kwake ni huku wamesha kuambia affordable kKabla ujatoa lawama kwa mchechu ujiulize wanapataje vifaa vya ujenzi? Kama watapunguziwa kodi kwenye vifaa vya ujenzi na ardhi wakapata kwa gharama nafuu basi hizo gharama zitapunguwa.
Pia ulitakiwa kuzingatia kuwa gharama huendana na mahali ardhi ilipo. Ardhi ina gharama kulingana na mahala.
You hit my point. Mtu anafikiria kila mwenye pesa ni fisadi! Kuna watu wanafanya clean business na ni watanzania wenye uwezo wa kununua hizo. Mtu ana kipato duni ila anataka amiliki Luxury apartment. Mchechu anafanya kazi kubwa sana kuipendezesha Dar es Salaam.
Tufanye kazi,Tuache majungu kwa Mchechu.
Kila mtu ni maskini kwa kiwango chake!!hata kama zitauzwa mil 30 bado sisi watu wa kipato cha chini tutakuja kulalamika humu ndani.
Na amini usiamini kuna watu wanaweza kununua hizo nyumba bila hata kutaka kupunguziwa bei na wala sio mafisadi
Linapokuja swala la pesa inatakiwa useme SINA HELA and not HATUNA HELA
Huu ndio ukweli ambao watu wengi wanavaa miwani ya mbao hawataki kuuonaWatu wanamchukia sana Mchechu ,wanatamani kesho Magufuli amfute kazi ili wafanye sherehe.
Kabla ya Mchechu kuwa MD ,NHC walikuwa wanaproject gani? Haya yote yanafanywa kutokana na ubunifu wake.
Kitu anacholalamikia Mchechu ni VAT na Kutopewa ruzuku ya vifaa vya ujenzi na maeneo hivyo kupelekea miradi yao kuwa ghali.
Serikali iwasaidie katika hayo yanayofanya Nyumba zao kuonekana ghali sana .
Nonsense! Zingekuwa zinaisha wangetangaza kwamba zinauzwa?Hizo nyumba huwa zinaisha kabla hata ujenzi haujaisha.
Kuna watu wenye fedha zao,wanalima,wana miradi mikubwa,wananunua.
Kuna mashirika ya kimataifa na balozi mbalimbali,kama huna hela ya kununua kaa pembeni !
unazungumzia watanzania wenye ngozi nyeusi au nyeupe kama wahindi,waarabu na wengineo
kama watanzania weusi kati ya watanzania million 5 unampata moja mwenye uwezo wa kununua gari la million 300
Leta facts za kumsema vibaya Mchechu, sio kwa sababu una tecno na bando.Wacha watu waseme, ye siyo mungu usiposemwa huta jua mapungufu yako. Inawezekana na uchafu upo pia.
Ilaumu serikali yako inayoshindwa kuwapa NHC ruzuku ya vifaa vya ujenzi, na kutoza VAT kwa mauzo ya nyumba za NHC.Sijawahi waelewe hawa NHC hizo bei huwa zina nichosha mno kwa hali ya watanzania walio wengi ni ngumu kwa kweli kumudu
You hit my point. Mtu anafikiria kila mwenye pesa ni fisadi! Kuna watu wanafanya clean business na ni watanzania wenye uwezo wa kununua hizo. Mtu ana kipato duni ila anataka amiliki Luxury apartment. Mchechu anafanya kazi kubwa sana kuipendezesha Dar es Salaam.
Tufanye kazi,Tuache majungu kwa Mchechu.
Leta facts za kumsema vibaya Mchechu, sio kwa sababu una tecno na bando.
Ilaumu serikali yako inayoshindwa kuwapa NHC ruzuku ya vifaa vya ujenzi, na kutoza VAT kwa mauzo ya nyumba za NHC.
Muwe mnaelewa wa jambo husika, kwanza kabla ya kuanza kulalamika.
Hizi tuhuma za NHC kwanini mnampa Mchechu peke yake, bila kuzumgumzia VAT na ruzuku ambazo serikali inawajibu nazo?Wewe umeelewa nini? Kwamba NHC haipewi ruzuku ya vifaa vya ujenzi ndio maana imejikita kuhudumia matajiri? Kwani ikipewa hiyo ruzuku, itaacha kuhudumia matajiri?
Mpendwa limbukeni,Watanzania wanapenda vitu vizuri ila hawapendi lipa hela
Mtu analalamika mara oooh Dstv wezi mara bei bei kubwa
Anataka vizuri ila hatak gharama
Ukiona wameweka hiyo bei jua wapo wanao nunua