stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,989
- 27,750
Hizi nyumba kwakweli gharama yake ni kubwa sana,ila kuna vitu vitakuwa vimeangaliwa hapo kama,location ya hizo nyumba,upatikanaji wa huduma muhimu kama mahoteli,maduka,hopitali n.k.sijajua tu kama wakati wanandaa mpango wa kuzijenga walengwa walikuwa ni watu wa namna gani,maana tusilalamike tu bei ziko juu wakati haziwahusu wananchi wa kawaida wenye vipato vidogo.