Hii ndio NHC ya zama za Magufuli

Hii ndio NHC ya zama za Magufuli

13620236_1810831225802857_6996548865400816853_n.jpg

Nyumba affordable ya raia wa kawaida ni milioni 800

Hivi huyu Nehemia na NHC wanaishi dunia gani? Hivi kwa hali iliopo sasa hivi kuna mtu wa kununua hizi nyumba? Materials na technology zimefanya construction costs zishuke maradufu. Sasa sielewi why bei ziwe kubwa kiasi hiki?

Cha kujiuliza huku NHC nani anawalinda hawa? Na je kweli wanaishi kwenye dunia tunayishi sisi watanzania wengine au?
Kabla ujatoa lawama kwa mchechu ujiulize wanapataje vifaa vya ujenzi? Kama watapunguziwa kodi kwenye vifaa vya ujenzi na ardhi wakapata kwa gharama nafuu basi hizo gharama zitapunguwa.

Pia ulitakiwa kuzingatia kuwa gharama huendana na mahali ardhi ilipo. Ardhi ina gharama kulingana na mahala.
 
May be its time watoe financial statement mbona walikuwa na uo utaratibu awali; isingekua nyongeza ya rent za asilimia 300% huko nyuma huyu jamaa ubovu wa aina ya miradi yake ingeshabainika.
 
Mkuu hivi huyo mnyonge kwa Tanzania ya leo ni nani?

Jamani tukubali tuu matabaka hata Enzi za mwalimu yalikuwepo. Hivi wewe unategemea apartment pale Kawe iuzwe bei gani? Personally I cannot afford it lakini hii mentality na lugha za uongo eti watanzania maskini na bla bla nyinginezo naona zinatuongopea. Mashirika ya umma ATC, Mwatex nk..yalikufa kwa sababu hizi hizi. Shirika likitaka litoe huduma zinazoendana na soko..lazima gharama zitumike. Ngoja ATC ifufuliwe upya...watanzania tutataka tulipe nauli ya Ngorika kwa sababu ni shirika la umma. Litakufa within no time!

Kuna watu nchi hii wana hela yao safi. They can afford. By the way umasikini usitufanye kumuona kila mtu ni fisadi. There are those who work hard and get their cash bila kumuibia yeyote. Sasa wewe ni mtumishi wa umma au mwalimu au muuguzi unataka apartment ya million 300! Hapo lazima uibe.

Kikubwa tujifunze kuelewa kwamba kipato kinazidiana. kesho tusipite barabarani ukaona Masanja au Mshana anaendesha Mercedes Benz ukasema ni fisadi. No! Lazima watanzania tubadilike hii mentality ya entitlement na kuamini kwamba we can be equal. It is wrong. Kila mtu apambane. atafanikiwa in his/her own right.

Ndugu yangu hao watanzania unaosema wanahela ni wachache sanaaa vilevile sio wajinga kununua nyumba kwa hela hiyo maana wanajua value for money. Wana majumba yao wametulia. Hizo apartments ni bei mbaya na ikumbukwe market price unayozungumzia ilikuwa distorted na wapigaji, mafisadi, wacheza dili waliotamalaki enzi za awamu ya nne. Hivi unataka kusema apartment Kawe nj sawa na Atlanta, Georgia huko Marekani?? Anyways, hizo nyumba hazitauzika. Lazima zishuke, serikali inaenda Dodoma. Property value haina tena dili Dar. Namba wataisoma.
 
Bei yake ni kubwa,lakini yote yanategemea mambo mengi,eneo lipo wapi kama city center au Masaki n.k,gharama ya kiwanja niliwahi kusikia eka mmoja iliuzwa millioni elfu mmoja badala ya sh million saba NSSF.Mashirika ya umma tenda ya ujenzi kwa mkandarasi kuna cha juu.Fumba macho tafuta maeneo kulingana na uwezo wako mkuu.
 
Kilichompandisha Mchechu - inflated real estate market iliyochangiwa na ufisadi, rushwa, ukwepaji kodi, etc ndicho kitakachomwangusha. Anachofanya Raisi wetu anarekebisha distortion. Zile fedha chafu za kutakatisha zinazidi kutoweka, hela za kirahisi rahisi kama posho posho na safari zisizo na ulazima kwishnehi. Fedha halali na za jasho tu ndio zitabaki. Hao matajiri wenye hizo hela ni sensible enough kuelewa ni jinsi gani ilivyo ukichaa kuweka milioni 700 kwenye nyumba maana haikuingizii hela. Lazima watashangaa. Kama hujaona bomu linalokuja basi wewe huambiliki. Mchechu sio jipu, real estate market ndo jipu. Alicheza na market condition ambayo sasa itamwangusha. Bado serikali kuhamia Dodoma. Lazima namba itasomwa.
 
You hit my point. Mtu anafikiria kila mwenye pesa ni fisadi! Kuna watu wanafanya clean business na ni watanzania wenye uwezo wa kununua hizo. Mtu ana kipato duni ila anataka amiliki Luxury apartment. Mchechu anafanya kazi kubwa sana kuipendezesha Dar es Salaam.

Tufanye kazi,Tuache majungu kwa Mchecu.
Watawala wa CCM wamepandikiza Fikra za kijinga sana kwenye Akili za watu eti..NCH maskini kwahiyo watu wote maskini daaah...
 
Mkuu hivi huyo mnyonge kwa Tanzania ya leo ni nani?

Jamani tukubali tuu matabaka hata Enzi za mwalimu yalikuwepo. Hivi wewe unategemea apartment pale Kawe iuzwe bei gani? Personally I cannot afford it lakini hii mentality na lugha za uongo eti watanzania maskini na bla bla nyinginezo naona zinatuongopea. Mashirika ya umma ATC, Mwatex nk..yalikufa kwa sababu hizi hizi. Shirika likitaka litoe huduma zinazoendana na soko..lazima gharama zitumike. Ngoja ATC ifufuliwe upya...watanzania tutataka tulipe nauli ya Ngorika kwa sababu ni shirika la umma. Litakufa within no time!

Kuna watu nchi hii wana hela yao safi. They can afford. By the way umasikini usitufanye kumuona kila mtu ni fisadi. There are those who work hard and get their cash bila kumuibia yeyote. Sasa wewe ni mtumishi wa umma au mwalimu au muuguzi unataka apartment ya million 300! Hapo lazima uibe.

Kikubwa tujifunze kuelewa kwamba kipato kinazidiana. kesho tusipite barabarani ukaona Masanja au Mshana anaendesha Mercedes Benz ukasema ni fisadi. No! Lazima watanzania tubadilike hii mentality ya entitlement na kuamini kwamba we can be equal. It is wrong. Kila mtu apambane. atafanikiwa in his/her own right.
Umenichekesha hapo kwenye Ngorika. Migari mkweche ile acha kabisa. Spidi sasa!
 
Ndugu yangu hao watanzania unaosema wanahela ni wachache sanaaa vilevile sio wajinga kununua nyumba kwa hela hiyo maana wanajua value for money. Wana majumba yao wametulia. Hizo apartments ni bei mbaya na ikumbukwe market price unayozungumzia ilikuwa distorted na wapigaji, mafisadi, wacheza dili waliotamalaki enzi za awamu ya nne. Hivi unataka kusema apartment Kawe nj sawa na Atlanta, Georgia huko Marekani?? Anyways, hizo nyumba hazitauzika. Lazima zishuke, serikali inaenda Dodoma. Property value haina tena dili Dar. Namba wataisoma.
Mkuu umewahi kwenda kutaka kununua hizo Nyumba zao ukakuta zimewadodea?
 
Kilichompandisha Mchechu - inflated real estate market iliyochangiwa na ufisadi, rushwa, ukwepaji kodi, etc ndicho kitakachomwangusha. Anachofanya Raisi wetu anarekebisha distortion. Zile fedha chafu za kutakatisha zinazidi kutoweka, hela za kirahisi rahisi kama posho posho na safari zisizo na ulazima kwishnehi. Fedha halali na za jasho tu ndio zitabaki. Hao matajiri wenye hizo hela ni sensible enough kuelewa ni jinsi gani ilivyo ukichaa kuweka milioni 700 kwenye nyumba maana haikuingizii hela. Lazima watashangaa. Kama hujaona bomu linalokuja basi wewe huambiliki. Mchechu sio jipu, real estate market ndo jipu. Alicheza na market condition ambayo sasa itamwangusha. Bado serikali kuhamia Dodoma. Lazima namba itasomwa.
Wana porojo tu kwenye website sio miradi yao yote nyumba walikuwa wanauza zote; mfano mchikichini wapanapodai ziliisha dada yangu anaishi kama mpangaji.

Jumlisha na kipindi hiki cha Magu sidhani kama benki zitatoa mikopo kirahisi kama ilivyokuwa kwa nyumba ambazo bei zake soko inaelekea kuzirekebisha kutokana na sera za kuzuia artificial supply of money. Madhara ya kuondoa hizi hela tayari zimeshaanza kuonekana.

Mi sidhani kama Lukuvi anachuki na huyu bwana kutaka aachane na aina hiyo ya miradi lazima ailipi or else watoe statement ni rent za cashcow walizokuta ndio zinalipa madeni sio miradi yenyewe kama ilivyokusudiwa.

Kukata mzuzu wa fitina watoe financial statement.
 
Watu kwa kupenda rahisi rahisi tu hamjambo, ss wategemea nyumba ya katikati ya jiji uuziwe 30M?
Kama zinauzika na shirika linapata faida waendelee tu kuziuza
 
Tangy uhuru NHC imekuwa si rafiki wa wanyonge bali wenye nacho na wakuja
Kabla ya hapo Wakajiongezea kunyakuwa NYUMBA za watu............ kwa masimati wa "KUTAIFISHA" nusu za nyumba hizo kwisha badilisha majina wa maOfisa wa zamani wa NHC !!!
 
Back
Top Bottom