Hivi tumewahi kuwasikia hawa jamaa wa NHC wakilalamika kuwa Nyumba zao zinakosa wateja sababu ya Bei? watu tunawalalamikia....kwamba Nyumba ni Ghali watu wanaoitwa wakawaida hawamudu..tangu Shirika lianzishwe ni Mtanzania gani anaeitwa wa kawaida aliweza kumiliki Nyumba ya NHC lkn sasa anashindwa sababu ya Bei kuwa Ghali ninachofahamu mimi Miaka yote wahindi ndio wamiliki wa hizo Nyumba mpaka Leo sasa hao watu ndio mnawaonea huruma kwamba hawataweza kununu????,,,,kweli,,,!!? acheni utani Nchi hii kuna Tabaka la kutosha...la mwenye nacho naasie nacho...kwahiyo mimi naamini wenye Pesa watanunua hizo Nyumba nandio maana wanapata Jeuri yakuzijenga kama zingewadodea tusingeona Matangazo kila siku yakujenga Nyumba zingineMiddle class. hawezi kumudu kununua hiyo apartment kwa bei hiyo. Hata ukikopa benki kwa mishahara ya kibongo hawezi kununua apartment ya two rooms kwa zaidi ya mil 300
Umewahi kuwasikia NHC wakilalamikia ukosefu wa wateja kwenye Majengo yao?Suala ni je, ukijenga utapata wateja? Kama hutopata kwanini ufanye project hiyo?
Hii imeanza miaka gani ndugu.....Maana kama mimi naona miaka yote wahindi ndio wanaishi hayo majumba ya NHC au wahindi ndio maskini unaotaka kutuambia...halafu acheni habari yakuwaambia wananchi 80% kuwa ni maskini huu ni msemo wa watawala kuwaamisha watu ili wao na waliokaribu nao waishi vyema...ndio maana kwenye chaguzi watu wanapewa fulana bila nguo nyingine chini ili iaminike tuko Maskini lkn anaezileta hizo fulana anakuja na Gari la zaidi 200ml....Mkuu wee saka hela tuLengo la kuundwa NHC ni kumpa mtanzania mnyonge maisha bora.Asilimia 80 ya watanzania ni maskini.NHC ya sasa inakumbatia matajiri.
Hii imeanza miaka gani ndugu.....Maana kama mimi naona miaka yote wahindi ndio wanaishi hayo majumba ya NHC au wahindi ndio maskini unaotaka kutuambia...halafu acheni habari yakuwaambia wananchi 80% kuwa ni maskini huu ni msemo wa watawala kuwaamisha watu ili wao na waliokaribu nao waishi vyema...ndio maana kwenye chaguzi watu wanapewa fulana bila nguo nyingine chini ili iaminike tuko Maskini lkn anaezileta hizo fulana anakuja na Gari la zaidi 200ml....Mkuu wee sakaLengo la kuundwa NHC ni kumpa mtanzania mnyonge maisha bora.Asilimia 80 ya watanzania ni maskini.NHC ya sasa inakumbatia matajiri.
Sio tusubiri kama watapata wateja Tusubiri wakianza kujiliza kuwa Nyumba zimekosa watejaCha muhimu kwa NHC ni kuhakikisha kuwa nyumba wanazo jenga zinapata wateja na wanasaidia kuboresha makazi hapa nchini.
Muda utakuwa msema kweli. Tusubiri tuone kama watapata wateja.
Nyumba za NHC zipo Tanzania nzima.Kuna waliokuwa wanaishi nyumba za NHC ila wakaamua kuhama wenyewe na kuwaachia wahindi.Kwa hivyo mkuu unakubali NHC izidi kutukamua ?Duh utakuwa una mihela tu wewe.Hii imeanza miaka gani ndugu.....Maana kama mimi naona miaka yote wahindi ndio wanaishi hayo majumba ya NHC au wahindi ndio maskini unaotaka kutuambia...halafu acheni habari yakuwaambia wananchi 80% kuwa ni maskini huu ni msemo wa watawala kuwaamisha watu ili wao na waliokaribu nao waishi vyema...ndio maana kwenye chaguzi watu wanapewa fulana bila nguo nyingine chini ili iaminike tuko Maskini lkn anaezileta hizo fulana anakuja na Gari la zaidi 200ml....Mkuu wee saka
Ha ha haaa....Kiongozi mimi sina miHELA ila lazima tuambiane ukweli sasa kama hao jamaa wa Mikoani waliwaachia wahindi manake waliona haziwafai....Ninachotaka kusema nikwamba....NHC inanunua Vifaa vya ujenzi vikiwa na KODI pia sina uhakika kama Serikali inawapa Ruzuku ikiwa hawapati Ruzuku na Shirika inatakiwa lijiendeshe unadhani watauzaje hizo Nyumba...nakumbuka Nyumba wanazojenga hata kama ziko Nje ya MJI huwa zinakuwa na Huduma muhimu karibu zote Umeme Maji nk hz zote ni Pesa...Mimi naamini kuna watu wenye Pesa zao watanunua kwa hiyo mipesa ndio maana hadi Leo wanajeuri yakujenga....wasio na uwezo wakumiliki Nyumba tuiombe Serikali aidha iwape Ruzuku na kuwaondolea KODI ikiwa hivyo tunaweza kuwa na nafasi nzuri ya kuwananga...vinginevyo tunawaonea tu!Nyumba za NHC zipo Tanzania nzima.Kuna waliokuwa wanaishi nyumba za NHC ila wakaamua kuhama wenyewe na kuwaachia wahindi.Kwa hivyo mkuu unakubali NHC izidi kutukamua ?Duh utakuwa una mihela tu wewe.
Great Thinker[emoji106][emoji106][emoji122]Mkuu hivi huyo mnyonge kwa Tanzania ya leo ni nani?
Jamani tukubali tuu matabaka hata Enzi za mwalimu yalikuwepo. Hivi wewe unategemea apartment pale Kawe iuzwe bei gani? Personally I cannot afford it lakini hii mentality na lugha za uongo eti watanzania maskini na bla bla nyinginezo naona zinatuongopea. Mashirika ya umma ATC, Mwatex nk..yalikufa kwa sababu hizi hizi. Shirika likitaka litoe huduma zinazoendana na soko..lazima gharama zitumike. Ngoja ATC ifufuliwe upya...watanzania tutataka tulipe nauli ya Ngorika kwa sababu ni shirika la umma. Litakufa within no time!
Kuna watu nchi hii wana hela yao safi. They can afford. By the way umasikini usitufanye kumuona kila mtu ni fisadi. There are those who work hard and get their cash bila kumuibia yeyote. Sasa wewe ni mtumishi wa umma au mwalimu au muuguzi unataka apartment ya million 300! Hapo lazima uibe.
Kikubwa tujifunze kuelewa kwamba kipato kinazidiana. kesho tusipite barabarani ukaona Masanja au Mshana anaendesha Mercedes Benz ukasema ni fisadi. No! Lazima watanzania tubadilike hii mentality ya entitlement na kuamini kwamba we can be equal. It is wrong. Kila mtu apambane. atafanikiwa in his/her own right.
Hizo nyumba huwa zinaisha kabla hata ujenzi haujaisha.
Kuna watu wenye fedha zao,wanalima,wana miradi mikubwa,wananunua.
Kuna mashirika ya kimataifa na balozi mbalimbali,kama huna hela ya kununua kaa pembeni !
Sawa mkuu.Watukamue tu tuisome namba.Tutaendelea kuishi kwenye mbavu za mbwa.Ha ha haaa....Kiongozi mimi sina miHELA ila lazima tuambiane ukweli sasa kama hao jamaa wa Mikoani waliwaachia wahindi manake waliona haziwafai....Ninachotaka kusema nikwamba....NHC inanunua Vifaa vya ujenzi vikiwa na KODI pia sina uhakika kama Serikali inawapa Ruzuku ikiwa hawapati Ruzuku na Shirika inatakiwa lijiendeshe unadhani watauzaje hizo Nyumba...nakumbuka Nyumba wanazojenga hata kama ziko Nje ya MJI huwa zinakuwa na Huduma muhimu karibu zote Umeme Maji nk hz zote ni Pesa...Mimi naamini kuna watu wenye Pesa zao watanunua kwa hiyo mipesa ndio maana hadi Leo wanajeuri yakujenga....wasio na uwezo wakumiliki Nyumba tuiombe Serikali aidha iwape Ruzuku na kuwaondolea KODI ikiwa hivyo tunaweza kuwa na nafasi nzuri ya kuwananga...vinginevyo tunawaonea tu!
he ni sahii shirika LA umma kuwajengea mabepari nyumba kwenye nchi ya kijamaaHizo nyumba huwa zinaisha kabla hata ujenzi haujaisha.
Kuna watu wenye fedha zao,wanalima,wana miradi mikubwa,wananunua.
Kuna mashirika ya kimataifa na balozi mbalimbali,kama huna hela ya kununua kaa pembeni !
sawa Mkuu ila wasiendelee kutudanganya kuwa ni Affordable to us (wavuja jasho) waseme tu Available to them (special one)Mkuu hivi huyo mnyonge kwa Tanzania ya leo ni nani?
Jamani tukubali tuu matabaka hata Enzi za mwalimu yalikuwepo. Hivi wewe unategemea apartment pale Kawe iuzwe bei gani? Personally I cannot afford it lakini hii mentality na lugha za uongo eti watanzania maskini na bla bla nyinginezo naona zinatuongopea. Mashirika ya umma ATC, Mwatex nk..yalikufa kwa sababu hizi hizi. Shirika likitaka litoe huduma zinazoendana na soko..lazima gharama zitumike. Ngoja ATC ifufuliwe upya...watanzania tutataka tulipe nauli ya Ngorika kwa sababu ni shirika la umma. Litakufa within no time!
Kuna watu nchi hii wana hela yao safi. They can afford. By the way umasikini usitufanye kumuona kila mtu ni fisadi. There are those who work hard and get their cash bila kumuibia yeyote. Sasa wewe ni mtumishi wa umma au mwalimu au muuguzi unataka apartment ya million 300! Hapo lazima uibe.
Kikubwa tujifunze kuelewa kwamba kipato kinazidiana. kesho tusipite barabarani ukaona Masanja au Mshana anaendesha Mercedes Benz ukasema ni fisadi. No! Lazima watanzania tubadilike hii mentality ya entitlement na kuamini kwamba we can be equal. It is wrong. Kila mtu apambane. atafanikiwa in his/her own right.
real talk..Mkuu hivi huyo mnyonge kwa Tanzania ya leo ni nani?