Nyumba affordable ya raia wa kawaida ni milioni 800
Hivi huyu Nehemia na NHC wanaishi dunia gani? Hivi kwa hali iliopo sasa hivi kuna mtu wa kununua hizi nyumba? Materials na technology zimefanya construction costs zishuke maradufu. Sasa sielewi why bei ziwe kubwa kiasi hiki?
Cha kujiuliza huku NHC nani anawalinda hawa? Na je kweli wanaishi kwenye dunia tunayishi sisi watanzania wengine au?