Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,040
- 153,795
Hii ni forum ya Watanzania, si ya Wamarekani.Basi nawewe peleka swalilako kwa Meya wa Dar ndo akupatie jibu la swalilako
Unawekaje swali kuhusu majengo ya mji ambao asilimia kubwa ya members hawajafika?
Maswali ya Dar hayahitaji Meya wa Dar.JF ina ujuzi wa jumla ulioupita ujuzi wa Meya wa Dar mara nyingi sana.