Kuwa mpole km vp hamiaUkisikia ubinafsi ndio huo.
Msukuma tangu ashike anawapa tabu sana, na tutamuongezea miaka mingine 10 Ili msahaulike kabisa kwemye uso wa TZ.Hamna jeuri ya kumzzuia hata tukienda kwenye sandku la maoni kura za hapana za wachaga zitakuwa 5℅ tu, mjiandae kuisoma namba 20 year.Acha siasa,ukabila ni 100%
We nimwenzao usituzuge hapaNinaishi na binti wa kirombo hakika hawa watu wana akili.
Yani muda wote napewa ushauri constructive.
Naunga mkono hoja
asante kwa kumjibu huyu mshamba wa kigoma,tatizo LA kuishi maishA mAgumu kule kwao buhigwe limeathiri ubongoNdugu umepovuka lakini yafaa utambue kuwa mtu mwenye kuwaza mbali hakumbatii kukaa sehemu moja akiamini atatosheka pale bali hujitanua kwa kwenda huku na kule kutafuta zaidi na kujiwekeza zaidi.
Mfano mzuri ona wazungu na wachina walivyojaa Africa na sehemu zingine sio kwamba kwao hakuna fursa laa hasha wameshazitumia na wanazitafuta sehemu nyingine.Unapoona biashara ya madiuka imeshikiliwa na waha na wasukuma kama unavyodai elewa wenzako wameshamove kwenye mambo mengine makubwa zaidi.
foreverNikiwa high school nilikuwa ni moja ya watu wasiosita kutaja anatoka kanda yani,kaskazini forever
smart sanaPale kazini kwet tupo 17, 11 ni watu from kaskazini.......very smart people
Hapana mimi wa Lituhi mkuu.We nimwenzao usituzuge hapa
Nipo best yangu. Za siku tele? Bado pande zile zile - Ars. Na kuhusu wewe?Best upo? Bado uko pande ile?![]()
Nipo best yangu. Za siku tele? Bado pande zile zile - Ars. Na kuhusu wewe?

Dah! mkuu unasema mno ukweli, wasitiri kidogo..Hahaaaa nani aliwaloga kuangalia weupe au kwa vile wote wanafanana sura haijulikana huyu dume au jike waanze kuchaganya damu.
Kuchezwa ngoma hutokea mtoto wa kike akivunja ungo hata na miaka Tisa wanamfundisha mapenzi na jinsi ya kumkatikia mwanaume, ni mafunzo ya ki umalaya tu badala wawafundishe watoto vtu vya msingi wao ndo hivo vtu vya hovyo
Hii Avatar yako duh, nikiangalia najisikia kutapika.. Is like nakuterm kama mchawi na mtu mweusi sanaNchi tunaisifia tukiwa nje ya nchi. Hata wahaya au wachaga huwezi kuta wanajisifu wakiwa kwao. Ila wakiwa nje ya kwao utasikia kule kwetu. Ndivyo ilivyo Mkuu. Mimi nikiwa Moshi utanikuta nikiukosoa vilivyomji ule kutokana na kuuona haukui. Na hata tunaotokea huko wote tunalalamika sana tukiwa moshi au Arusha kuwa hapakui. Lakini tukiwa nje huwezi kusikia tukipaponda home. Tunatumia kauli ya Nyumbani ni nyumbani
Kaskazini ni damu na biological trait.. Mfano mzaramo akiamia kaskazini atabaki na damu, akili, attitude na tabia za kizaramo.. Hata ikiamia hauwezi kufanana na watu wa kaskazini kibiologiaHahahah kweli aiseeh
Mie ni mkaskazini kwa kuzaliwa
Namshukuru mzee wangu kuhamishiwa kaskazini akaenda na mkewe na kaka yangu
Wengine tukazaliwa huko
Ningezaliwa lindi leo sidhan kama hata ningesoma mweeh
Kumenifunza elimu,kusali,kazi na kutafuta mbesa
Mzee wangu alistaafu akarudi nyumban vijana tukamgomea
Akatuachia mji sema huwa tunaenda msalimu mara kwa mara
Na kila likizo mimi na ndugu zangu lazima tukutane kaskazin kuhesabiwa hahahah
Nanyie tokea Yule jamaa awe rais kwa bahati Ya mtende, bas nanyie mjioni mnacompetetionNani alie kwambia wasukuma ni wavivu? Kwa taarifa yako msukuma ndio anaweza kuwa mtu mwenye pesa zaidi ya makabila yote, usukumani kuna diamond, dhahabu, ng'mbe, mbuzi, mchele nk.Fanya tathmini pembuzi ndugu.huko uchagani kuna nini zaidi ya ndizi na kahaw na mlima kmnjr, hivi kuna kijana wa kitanzania anaewaza akatafute maisha moshi?sijawahi muona ila wachaga tu kukimbia kwao mnaongoza mkifuatiw na wamakonde japo wana ardhi kubw.Ukweli ni kwamba moshi hakuna rasilimali chochevu kama mkoa wa mby, Morogoro, Njombe, Rukwa, pwani nk.Hata miundombinu iliojwngw huko imejengwa na serikali unasifia utazani wewe ni mkenya, kikwete alileta mfumo wa kiwaondoa katika kujipendelea kielimu, shule za kata zimekata mzizi wa fitina na takwimu zinaonesha wasukuma ndio wengi vyuoni kuliko makabila yote, miaka kumi inayo watatawala kila sekta na wengi wao husoma zaidi sayansi kwa sababu wanaakili kuliko wachaga.
Ile ni mali Ya wachagga kwasababu ipo kwenye ardhi yao, mapato yanapaswa irudi kusaidia Maendeleo Ya pale.We unadhani ule mlima unajitunza wenyewe au unatunzwa na wazawa,mkichangishwa 6000 kwa ajili ya kuuhufadhi mlima k njaro mtakubali?
Hajaanza yeye kuleta hizi figisu,atashindwa kama wenzake na tunazidi kusonga mbele. Hatuhitaji favour wala huruma ya Serikali ya CCM ili kupata maendeleo. Wewe endelea kuishi na kuamini kuwa CCm itawaletea maendeleo kwenye Mkoa wenu wa kimasikini.Msukuma tangu ashike anawapa tabu sana, na tutamuongezea miaka mingine 10 Ili msahaulike kabisa kwemye uso wa TZ.Hamna jeuri ya kumzzuia hata tukienda kwenye sandku la maoni kura za hapana za wachaga zitakuwa 5℅ tu, mjiandae kuisoma namba 20 year.
Wamasai huku now wamegeuza ufugaji biashara, Now katika ngombe zake elfu kumi, anauza hata elfu 5000,anakuja kujenga hotels na guest mjini, now hapo makao mapya wanawamisha waswahili mbaya.. And ni wafanya biashara wakubwaa wa madini hapa mjiniHivi manyara monduli si kumejaa wachunga ng'ombe?