Hii ndio Kanda ya Kaskazini

Hii ndio Kanda ya Kaskazini

Nimetembea mikoa mingi mfano singida,dodoma ,moro,pwani,iringa na mbeya nimeona watu wengi wa vijijji vya mikoa ya kaskazini wana maisha bora ikiwamo nyumba bora ukilinganisha na wenzao wa mikoa mingine na watu kutoka kanda ya ziwa wakija huku hawataki kuondoka sijui kwanini kwa sababu sijatembea mikoa ya huko na kanda ya pwani kikwete aliwainua kidogo.
 
Back
Top Bottom