Kanda ya Kaskazini ni kanda ya ajabu sana. Sijui wapoje?

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,878
Reaction score
4,441
Hii kanda nu kama wamelaaniwa aisee yaani wana matukio ya ajabu sana na ndiyo kanda ambayo watu wanajinasibu kwamba wameelimika sasa utaelimika vipi wakati bado mnajisaidia maporini huko? Na ni kanda ambayo watu wanapenda ugomvi na ujambazi kuliko kanda yotote ile hii kanda sijui ipoje yaani ukitoa Tanga na Manyara ambayo kidogo wamestaarabika kwa kuwa watulivu na wapole ila Kilimanjaro na Arusha ni funga kazi hawa watu hawajielewi hata kidogo aisee

Ni kanda ambayo mtu anaweza kukuua kwasababu ya pesa ndogo tu na hawa kwa utapeli na kudhulumiana ni kitu cha kawaida ukiitoa Manyara atleast ila mikoa mingine Iliyobaki wanapenda sana utapeli na dhuluma na nakumbuka nilimkosa kumtandika ngumi mchaga mmoja pale stendi kuu ya Moshi aliyekuwa anataka kunitapeli na watu wa Arusha kuna vijana niliwavunja taya kwa ujinga wao wa kutaka kutapeli watu.

Kanda ya ajabu sana hii
 
Man, umeandika ujinga aise ..........
 
hadi hapo hujaandika sababu zenye ushahidi wenye mashiko wa kutosha kuwachukia
Jipange upya....!
 
Back
Top Bottom