Si kweli wanaume wa kanda maalumu ndo hushobokea wanawake wa kule had kero kuu. Mi shakutana na wengi na vile hamko romantic basi ni kero tupu
Inaenda had Mara kagera ni kaskazini magharibi mwa nchi sema watu wakiskia kaskazini wanajua moshi na Arusha.Nakuelewa Mkuu. Mingine ni ipi?
Kweli wanapenda kushoboka sana hafu wanakosa sauti sema wanawake wakule wana akili wanawafundisha maisha na kutoa ushamba, ujue ili mwanaume asimame anahtaji mwanamke anayejielewa. Sasa wao ndo wanaoa hao kwa wingi Dada zao nani atawaoa.
Hahaaaa sio ujeuri unajua ukikua umejengewa kujituma kupambana huogopi kitu, sasa wamama wakule wa napambana kuliko wanaume na hawahofii kitu, sasa wengine wakiona hivo wanaona ujeuri kumbe ni kawaida tu.Dada zangu mpunguze ujeuri kidogo
Ila ukweli hutuweka huru eeeh talking from my own experience dating them lazima utumie nguvu ili kuendana nao, ujue background zetu tofauti uleta shidaMkuu mimi sisemi mengi, nisijeonekana mbaguzi
Kweli mkuu shukuru sana Lindi siyo poa nilichaguliwa huko kidato cha tano enzi hizo hata barabara haina lami ugumu niliopata ilibidi niameHahahah kweli aiseeh
Mie ni mkaskazini kwa kuzaliwa
Namshukuru mzee wangu kuhamishiwa kaskazini akaenda na mkewe na kaka yangu
Wengine tukazaliwa huko
Ningezaliwa lindi leo sidhan kama hata ningesoma mweeh
Kumenifunza elimu,kusali,kazi na kutafuta mbesa
Mzee wangu alistaafu akarudi nyumban vijana tukamgomea
Akatuachia mji sema huwa tunaenda msalimu mara kwa mara
Na kila likizo mimi na ndugu zangu lazima tukutane kaskazin kuhesabiwa hahahah
Hahahah kweli aiseeh
Mie ni mkaskazini kwa kuzaliwa
Namshukuru mzee wangu kuhamishiwa kaskazini akaenda na mkewe na kaka yangu
Wengine tukazaliwa huko
Ningezaliwa lindi leo sidhan kama hata ningesoma mweeh
Kumenifunza elimu,kusali,kazi na kutafuta mbesa
Mzee wangu alistaafu akarudi nyumban vijana tukamgomea
Akatuachia mji sema huwa tunaenda msalimu mara kwa mara
Na kila likizo mimi na ndugu zangu lazima tukutane kaskazin kuhesabiwa hahahah
Mimi hata sio wa huko ila haimaanishi siwezi kusema kitu from different angles kulingana na experience I'm from Singida.kumbe hata ww ni wa huko hongera sanaa sema inasikitisha nyie wasichana wa huko badala ya kufanya kazi kwa bidii mnasubiri kuwapoteza wamme zenu sema BTW rafiki yangu 2tanataniana tu mwisho wa siku hakuna kanda iliyo bora, hakuna watu walio bora, hakuna utamaduni ulio bora pia wenzetu wanasema east and west home is best, hivyo tusiishi kikanda ni hatari sanaa mm nipo kaskazini hapa japo siyo wa huku ni Arusha natazama vivutio vya utalii mwanachama alivyo taja hapo juu kama kina wema sepetu
nashukuru nimekuwa na moments nzuri huku kaskazini
Namshukuru sana Mungu pamoja na mzee wanguKweli mkuu shukuru sana Lindi siyo poa nilichaguliwa huko kidato cha tano enzi hizo hata barabara haina lami ugumu niliopata ilibidi niame
Mkuu tafadhali soma andiko langu lililofuata nilikuwa natania tu usinichukulie serious maana .. mimi mwenyewe nipo kaskazini kwa sasa ili charity begin at home umepasifia sana nyumbani ila usiwe mtu wa ukanda sanaa halafu mm cyo mwenyeji huku ila nimejaribu kutembea tembea hakuna tofaut sana na kanda nyingine vyote ulivyovitaja vipo pia kanda nyingine sema hongera watu wa kaskazini mnajua kupasifia nyumbaniMkuu wenzako tukipost tunafanya uchunguzi kwanza. Huko Kigoma wanatoka wasanii wangapi na ni wasanii wa aina gani? Hivi unadhani Chato itajengwa kwa miaka kumi 😀😀😀😀😀. Hivi unadhani mtu mmoja anaweza kujenga mkoa mzima😛😛😛😛.
Hivi unadhani kanda hiyo ilianza mwaka 2015🙂🙂🙂. Nyie shikeni vyombo vyote lakini mkumbuke ni kwa miaka kumi tuu na mbaya zaidi ni kuwa imebaki saba😉😉😉. Eti wasomi ni watumwa wa wanasiasa ndio ulivyofunishwa hivyo na unavyowafundisha watoto wenu huko ndio maana hawaendi shule. Pole sana. Zipo kanda zinaua waume zao na wake zao ili zipande cheo kichawi😛😛.
Mheshimiwa anapapenda kwao lakini hawezi kujenga kwao yeye pekee. Mnatakiwa mumsaidie sio kumtegemea yeye tuu. Mimi nitaendelea kujidanganya lakini ukweli unaujua. Zote ni kanda za nchi yetu. Wengine wamejaliwa ujinga, uchawi na imani za kishirikina. Wamejaliwa kutegemea ndio maana wewe mwenyewe unakiri kuwa mheshimiwa anajenga kwao. Wewe unajenga wapi? Lazima Watanzania tubadilike.
kiukweli Kusini hasa Lindi ni moja ya sehemu zilizosahaulika sana inahitaji nguvu na serikali kupakumbuka kimaendeleoNamshukuru sana Mungu pamoja na mzee wangu
Manake hakurudi kwao hadi alipostaafu
Akatuachia mji
Nimepiga skul safi hadi varsity sababu ya kuzaliwa kaskazin
Si waona kaskazin ni shiderrMkuu hata mimi damu yangu si ya kaskazini ila nimezaliwa huko
sawa Mkuu hongereni ila muwe na usawa na hao wanawake kwa sababu najaribu kuangalia kwenye masuala ya uongozi kama ubunge naona hamuwapi sana nafasi ila suala la elimu ni mhimu ili kupunguza utegemezi kwenye jinsia ya kiume pia kuleta maendeleo katika taifaHivi unaongea kitu gani mkuu. Hujui 40% ya wanawake waliopata elimu ya juu wanatokea kanda ya kaskazini. Nenda Benki uone watoto kutoka kanda hiyo walivyojaa. Nenda kwenye biashara, siasa, NGO's nyingi waanshikilia wanawake kutoka huko. ndio wanawake pekee wanaoongoza kwa kujitegemea kiuchumi
Yes ndio ukwelHivi unaongea kitu gani mkuu. Hujui 40% ya wanawake waliopata elimu ya juu wanatokea kanda ya kaskazini. Nenda Benki uone watoto kutoka kanda hiyo walivyojaa. Nenda kwenye biashara, siasa, NGO's nyingi waanshikilia wanawake kutoka huko. ndio wanawake pekee wanaoongoza kwa kujitegemea kiuchumi
Si unaonakiukweli Kusini hasa Lindi ni moja ya sehemu zilizosahaulika sana inahitaji nguvu na serikali kupakumbuka kimaendeleo