Hii ndio Kanda ya Kaskazini

Hii ndio Kanda ya Kaskazini

Kutoka kushoto ni Bosco Beda Kyara na Gabriel Jerome Mombuli,wanashikiwa kwa makosa mawili,unyang'anyi wa kutumia silaha na kupatikana na mali inayoamini kuwa ni ya wizi.

Hilo shangingi ni Nissan Patrol V8,Mali ya Kampuni ya Nisk Capital Ltd ya Kenya(siyo la Ikulu ya Kernya kama ilivyoripotiwa),liliibwa Agosti 19 mwaka huu Nairobi Kenya,hawa jamaa ndo wazee wa kupokea na kuuza.

Kanda ya kaskazini mambo ni Motooooooooooooooo
Ndo uanaume huo
 
Raha ya hii nchi kwa sahivi ukabila na ukanda hauna nafasi kubwa sana, Tumeishi kwa kupendana na kuoleana. Na uskakazini wangu nimeoa usukumani, sengerema na Dada zetu wengi tu wameolewa sehemu karibu zote Tanzania hii. Ubaguzi usiyo na maana tusiupe nafasi kubwa sana.
 
Battle za hivi huwa ziko mtandaoni tu...! Laki uraiana dada zenu tunawamegea tu sisi watu wa Kanda ya ziwa....!
 
Raha ya hii nchi kwa sahivi ukabila na ukanda hauna nafasi kubwa sana, Tumeishi kwa kupendana na kuoleana. Na uskakazini wangu nimeoa usukumani, sengerema na Dada zetu wengi tu wameolewa sehemu karibu zote Tanzania hii. Ubaguzi usiyo na maana tusiupe nafasi kubwa sana.

Kweli kabisa, hata mimi nina asili ya kanda ya ziwa. Hakuna ubaguzi hapo Mkuu. ni sawa na mtu kusema shule ya sekondari niliyosomea ni nzuri kuliko zote Tanzania
 
Kutoka kushoto ni Bosco Beda Kyara na Gabriel Jerome Mombuli,wanashikiwa kwa makosa mawili,unyang'anyi wa kutumia silaha na kupatikana na mali inayoamini kuwa ni ya wizi.

Hilo shangingi ni Nissan Patrol V8,Mali ya Kampuni ya Nisk Capital Ltd ya Kenya(siyo la Ikulu ya Kernya kama ilivyoripotiwa),liliibwa Agosti 19 mwaka huu Nairobi Kenya,hawa jamaa ndo wazee wa kupokea na kuuza.

Kanda ya kaskazini mambo ni Motooooooooooooooo
Safi, umasikini Ni laana...
 
Majambazi, mafisadi na wahujumu uchumi. Ndio kanda pekee inayoweza kutoa Mafisadi, majambazi na wahujumu uchumi kushinda kanda yoyote hapa nchini. Ujambazi wa kimataifa pia umefanya na watu wa kanda hii
hicho kipande ni 100%
Hii Nyerere ndo alisababisha kwa kiasi kikubwa. Hauwezi kuwashikia watu wnegine chini ili wengine ndo wapate fursa, Style ya wapi hiyo? Kuna watu hawadhibitiki.
 
Mafuta na gesi inasemekana yapo ziwa Eyasi. Kinachonishangaza mimi ni mpaka sasa Arusha kutokuwa na kituo cha Television, Ni aibu kubwa kwa hao unaowaita matajiri wakati manispaa tu kama Morogoro wanacho.
Hao ni wakimbizi wa ndani ya nchi, yani kwenu kuzuri alafu uende ishi mapori ya pwani kama si ujuha ni nini? Hakuna fursa zozote huko ndio maana hawakai.Shinyanga mjini walijaa sana miaka 90 sasa hivi kila duka ni la muha na msukuma hawana tena pa kuwaibia watu, wasukuma walishawashtukia hao majizi!!!!
 
Wasukuma bhana!
 
Mkuu,
Kariakoo kipindi cha nyuma ilishikwa na wahindi, maduka mengi ya spea, vifaa vya ujenzi, nguo nk
Sasahivi kariakoo kwa asilimia kubwa imeshikwa na Wakinga.

Haimaanishi kwamba wahindi wamefilisika la hasha! wengi wao wameshavuka hiyo stage na kwasasa wanamiliki makampuni makubwa ya kusafirisha mizigo na viwanda(producers) na wenye maduka ni wateja wao.

Nina imani umenielewa.
 
Back
Top Bottom