Zillion
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 1,389
- 1,889
HahaaaNaona watu na Kanda yao "keep the fire burning" hivi hiki kiingereza watu wa kaskazini ndo huwa mnamezeshwa na watalii sio "nikiona mtu anajisifia anakotoka namwona waheed kabsa,,, jisifie kwa kile ulichokifanya wewe na kwa trend inavyoenda mnaenda kupoteza crown kwa kuendekeza ulevi usiofaa,, maendeleo yaliyopo kaskazini mengi yalifanyika miaka ya nyuma kipindi tunafuata sukari moshi,, kwa sasa upepo umebadilika na Hali hii baada ya miaka 15 tu sijui nani anajisifia eti Kanda gan unatokea,,, huu ujinga uwatoke na pombe muache mnapata hepatitis kijinga tu mtu Ana hela anakuja Ana liver failure,, sasa unadhan sisi tutaweka liver mpya shauri ya pombe yao
Kumbe dozi imeingia saafi sana,
Kiingereza ndio nilimeza hicho kidogo mkuu najaribu kukiwekaweka walau nisisahau
Ukweli utabaki kuwa ukweli mimi nimetoa mawazo kwa uelewa wangu kulingana na mada iliyoko mezani povu la nini?
kipi cha uongo hapo?
Mada haisemi tuongelee mafanikio binafsi, soma vizuri au anzisha uzi wako tuchangie.
hicho kipande ni 100%