Mimi hata sio wa huko ila haimaanishi siwezi kusema kitu from different angles kulingana na experience I'm from Singida.
Hyo ya kuwapoteza wanaume sidhani ka ina ukweli maana sijawahi kuona case ka hyo,hafu nyie wanaume ndo hujipoteza kwa Mipango kando haiwezekani Mali tuchume wote tukipata wewe ufikirie ubinafsi wako bila kujali watoto hafu uachwe, nadhani wanaowatanguliza wenzi wao hu angalia future ya Mali na watoto, wakati nyie wanaume hujiwazia ubinafsi tu.
Yeah nchi yetu ni moja na kila kanda ina muhimu wake kwa nchi yetu u tofauti,tofauti ndo hufanya nchi yetu iwe moja, kila kanda ina bora wake na udhaifu wake.