Hii ndio Kanda ya Kaskazini

Hii ndio Kanda ya Kaskazini

Mkuu endelea kusifia kanda yako sisi tunaendelea kujenga chato na kuhakikisha vyombo vya ulinzi na usalama vyote vinaongozwa na sisi na hivyo kuwa kwenye system miaka yote, ukumbuke pia ndugu yako niki wa pili alisema wasomi ni watumwa kwa wanasiasa sasa kuwa na wasomi, pia endelea kuwa na wasichana na wanawake wazuri wanaoua waume zao ili kurithi mali, kuwa na majambazi tutawadhibiti wote, halafu unasema watu wenu wanapenda kwao kwani mheshimiwa hapendi kwao endelea kujidanganya hivyo hivyo, pia wasanii wapo kigoma mkuu siyo huko kwenu mnaowabeba kwa nguvu. Mkuu nawasilisha najivunia kanda ya jiwe.

Hakuna wasanii huko ni ujanja ujanja tu wanaofanya!
 
😀😀😀 Ngosha Tumia Akili, Nguvu za Nini?? Nariromba Bugali Ng'walu!
Unanisikitisha sana yani kumbe nawewe muiraqw unatamba na u_kaskazini? Wakaskazini wenye nguvu ni mmoja tu hawa wengine hamuwezi battle na SUKUMA LAND.
 
Hii mbegu inayopandwa hapa italigharimu taifa hili changa linalopatikana pembezoni mwa bahari ya Hindi! Na hili ni tatizo kubwa sana linaloenda kutugharimu. Muda ni mwamuzi mzuri sana kwenye mambo kama haya.
Kujinadi kwa wito wa ukabila,ukanda, rangi ya mwili nk ni wito wa "kijahiliya" ni wito wa kijinga. Sijui mtu ananufaika na nini akijinadi kwa wito wa namna hiyo.
 
Kaskazini nzima kidume ni Mchagga pekee hawa wengine wanajificha nyuma ya ukaskazini. Bongo nzima vidume ni wawili tu, uliza tena mwingine ni yupi.
Tukisema Nyie Wasukuma ni Washaba Hamjui kitu Mnakataa?? Niambie Umri wako Halafu tupime USukmA Land na Ukaskazini
 
Tukisema Nyie Wasukuma ni Washaba Hamjui kitu Mnakataa?? Niambie Umri wako Halafu tupime USukmA Land na Ukaskazini
Jamii nyingine bana, wewe muiraqw achana na huu uzi. Tuachie watu wenye influence na hii nchi.
 
Back
Top Bottom