Hii mbegu inayopandwa hapa italigharimu taifa hili changa linalopatikana pembezoni mwa bahari ya Hindi! Na hili ni tatizo kubwa sana linaloenda kutugharimu. Muda ni mwamuzi mzuri sana kwenye mambo kama haya.
kodi analipa ww ama mzungu kweny mlima kaka...alaf mlima sio mali ya mtu nakurekebishaa ni mli ya watanzania...Kama Rizmoko alitamka kwamb Rais hatatoka kaskazini na Jiwe akapigilia kwamba Kilimanjaro imeendelea kwa hiyo wasubiri apeleke maendeleo kwingine wakti sisi tunalipa kodi na tozo kubwa mfano Kili mountain ndo inaingiza pesa kubwa lakini tunapewa asilimia 4. Mbon wakitugawa hamuwakemei

Achana nae huyo ingekua kaskazini sio kitu asingemwaga povu hivyo.Kama Rizmoko alitamka kwamb Rais hatatoka kaskazini na Jiwe akapigilia kwamba Kilimanjaro imeendelea kwa hiyo wasubiri apeleke maendeleo kwingine wakti sisi tunalipa kodi na tozo kubwa mfano Kili mountain ndo inaingiza pesa kubwa lakini tunapewa asilimia 4. Mbon wakitugawa hamuwakemei
Katika yooote wee umeona hilo tuu. By the way kwani hakuna reli?Eti kaskazini kuna Reli![]()
Kuchunga ni asili boss, nikienda home hata kama nina pesa kiasi gani lazima ntakamua ng'ombe, ntachunga nikitaka, ntajimix na ngosha wenzangu niliowakutà kijijini na mambo mengine. Wasukuma ni vipanga sana mwana wane jaribu ku refresh mind yako kwa uliosoma nao. Mimi ni m_ lake zone asilia.Hahahah eti wanasoma sana
Mtu anagraduate hata barua ya kingereza hawez andika
Ahahahah wamezoea kuchunga
Asili haibadiliki kamwe
Hahahah
kodi analipa ww ama mzungu kweny mlima kaka...alaf mlima sio mali ya mtu nakurekebishaa ni mli ya watanzania...

Wasukuma ndio watu pekee wanao weza mthamini mtu yeyote pasipo kuzingatia kabila lake, kanda yake au chochote kile. Ukibisha njoo huku kwetu utaona. Unasema hauwezi kudate mwanamke mbali na mkaskazini?? Ubaguzi huo naamini hauishii hapo, nimesoma Arusha kiufupi tu nikwambie hata wewe wa babati unaonekana jinga mbele ya wakaskazini wenzio wa Kilimanjaro.Mkuu Umegusa Kila Angle.. Wacha Niongezee Kidogo..
Watu wa Kaskazini tumebarikiwa sana ila sasa Naona tunaingiza ubaguzi Mkubwa sana kwa wa Tanzania wenzetu, Wakaskazini wanaweza Kuoana wao kwa wao na wasiliteane hitilafu ila wacha waoane na Makabila Mengine..
Kwa Mfano mimi siwezi kudate na Demu ambaye sio Mkaskazini.. yaani sijui namwonaje yaani Nakuwa simthamini..Tofauti na Mkaskazini mabaye namwona kama Ndugu na Namthamini na Kumpenda Automaticaly!
Mkuu, in nature watu wa Kaskazini wako Smart sana Kichwani hata kama hajaingia Darasani.. ni watu wanaojiamini sana Kiasili..Watu wa Kaskazini ni watu wanaoamini wana Species nzuri saana, Kuna MWandishi mmoja Mkenya Simkumbuki Jina aliwahi Kusema Watu wa Kaskazini ni Watu wenye Muonekano Mzuri wa Sura Kuliko wote Tanzania!
Pia Naiona Singida ikianza kuwa na Ukaribu na sisi, kwa Maana saivi kumtofautisha Msinginda hasa Mdada na Wadada wengine wa Kikaskazini ni Ngumu saana!
Tuipende Kaskazini Yetu!
Natokea Babati!
kodi analipa ww ama mzungu kweny mlima kaka...alaf mlima sio mali ya mtu nakurekebishaa ni mli ya watanzania...
huna adabu...elimu yako ndo imekusaidia paka hapo kutoa kauli za dharau..aah jifunze kuzungumza na watu hata sababu ya kukujibu ulichoandika sioni...Pathetic Fools
Msukuma alisemaga bungeni baada ya mbunge wa ccm kuropoka kwamba bora tukose samaki kwa vile yeye katokea jimbo ambalo halina samaki. Nakumbuka alisema,'tumejaaliwa neema tofauti, kuna wenye mbuga za wanyama, milima, kahawa n.k, sisi tumepewa dhahabu na samaki kwa hiyo mnyamaze wote mnaotoka kanda nyingine"
Cha ajabu ndo alikuwa wa kwanza kutetea baada ya serikali kula hela za wakulima wa korosho ambzo hajui zinafananaje hizi ndo akili za kiccm tukiwaendekeza tutakuwa maskini wa kutupwa
Dhambi ya ubaguzi hua haiishi, wewe mbabati hata mimi ngosha hua nakuona kama vijamaa flani hivi vya .... Hata kibongo bongo yakitajwa makab.l. sidhani kama una influence yeyote kibiashara, kielimu, ufugaji, elimu yani ki_ kitu chochote. Samahani lakini mkuu.Mkuu Umegusa Kila Angle.. Wacha Niongezee Kidogo..
Watu wa Kaskazini tumebarikiwa sana ila sasa Naona tunaingiza ubaguzi Mkubwa sana kwa wa Tanzania wenzetu, Wakaskazini wanaweza Kuoana wao kwa wao na wasiliteane hitilafu ila wacha waoane na Makabila Mengine..
Kwa Mfano mimi siwezi kudate na Demu ambaye sio Mkaskazini.. yaani sijui namwonaje yaani Nakuwa simthamini..Tofauti na Mkaskazini mabaye namwona kama Ndugu na Namthamini na Kumpenda Automaticaly!
Mkuu, in nature watu wa Kaskazini wako Smart sana Kichwani hata kama hajaingia Darasani.. ni watu wanaojiamini sana Kiasili..Watu wa Kaskazini ni watu wanaoamini wana Species nzuri saana, Kuna MWandishi mmoja Mkenya Simkumbuki Jina aliwahi Kusema Watu wa Kaskazini ni Watu wenye Muonekano Mzuri wa Sura Kuliko wote Tanzania!
Pia Naiona Singida ikianza kuwa na Ukaribu na sisi, kwa Maana saivi kumtofautisha Msinginda hasa Mdada na Wadada wengine wa Kikaskazini ni Ngumu saana!
Tuipende Kaskazini Yetu!
Natokea Babati!
Subirini kuna jeshi linaingia kwenye elimu, likitoka hilo kila sekta utakutana na ma_ ngosha tupu.Madini yenyewe mmempa akasia yanawasaidia nini?.
Hahahaa Mkuu Hata Maandishi yako yanaonesha wewe ni Mtu wa aina GaniDhambi ya ubaguzi hua haiishi, wewe mbabati hata mimi ngosha hua nakuona kama vijamaa flani hivi vya .... Hata kibongo bongo yakitajwa makab.l. sidhani kama una influence yeyote kibiashara, kielimu, ufugaji, elimu yani ki_ kitu chochote. Samahani lakini mkuu.
Wa Kaskazini hatujawahi Kudharauliana kitu cha Kwanza Mkuu, Note-- Mangosha ndio tunawaona wa Kuja tuWasukuma ndio watu pekee wanao weza mthamini mtu yeyote pasipo kuzingatia kabila lake, kanda yake au chochote kile. Ukibisha njoo huku kwetu utaona. Unasema hauwezi kudate mwanamke mbali na mkaskazini?? Ubaguzi huo naamini hauishii hapo, nimesoma Arusha kiufupi tu nikwambie hata wewe wa babati unaonekana jinga mbele ya wakaskazini wenzio wa Kilimanjaro.
😂sawa meku
vipi mademu wa huko nasikia wana chura Siku hiZi
Kitu ulichosahau wakati unamkimbiza mwenzio na yeye anakimbia, hivyo utabaki nyuma tu ya watu wa kanda hii.Subirini kuna jeshi linaingia kwenye elimu, likitoka hilo kila sekta utakutana na ma_ ngosha tupu.