Kajole
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 1,668
- 1,660
Tumaini ndio iringa university imebadilishwa jinaHata Tumaini University siioni hapo
Tumaini ndio iringa university imebadilishwa jinaHata Tumaini University siioni hapo
Two five five bata kitambo sana hapo
Mkuu Barbarosa umetembelea miji mingapi ya Tz, Mbona iringa kama kisarawe tu cjaona kinachokuvutia ww pamoja kuwa ni mji mkongwe, tughorofa twenyewe tunajengwa sasa. Ukifika stand watu/vijana wamelewa tu
Kuzuri sana kumbe!Habari za jioni mabibi kwa mabwana,
Bila kupoteza wakati, hebu Leo tutembelee mkoa wa Iringa.
Kwa ufupi,
Jina iringa linatokana na neno lilinga, (which means fort) au boma kwa kiswahili. Mkoa wa Iringa una wilaya nne, ambazo ni Iringa Manispaa, Iringa Vijijini, Kilolo na Mufindi.
Katika elimu, mkoa wa Iringa una shule nyingi za sekondari (ni nyingi kuzitaja) na vyuo vikuu vitatu ambavyo ni;
Chuo kikuu cha Mkwawa
Chuo kikuu cha Iringa
Chuo kikuu cha Ruaha
Pamoja na taasisi nyingine za elimu ya juu zikiwemo chuo cha ustawi wa jamii na chuo cha mafunzo ya Ualimu cha Kleruu.
Shughuli za maendeleo, shughuli za maendeleo katika mkoa wa iringa ni kilimo, ufugaji, usindikaji na biashara.
Kilimo ndio inayochukua nafasi kubwa, hasa katika mazao ya nafaka, mbao, mazao ya biashara kama chai, mazao ya mbogamboga n.k. Bado kuna fursa nyingi hasa katika kilimo cha misitu ya mbao katika wilaya za Kilolo na Mufindi, ambazo hali ya hewa inafaa sana kwa makuzi ya misitu ya mbao. (Fursa hii vijana watanzania changamkieni)
Mpaka sasa mkoa wa Iringa una TV station moja (IMTV) na fm Radio Stations 7
Ambazo ni;
Trap Gang Radio
Ebony FM
Country FM
Nuru FM
Kibla ten FM
Furaha FM
Overcomers FM
Hivi karibuni Iringa imekuwa ni manispaa ya kuvutia sana kuanzia huduma za jamii (umeme, maji, afya na elimu), miundombinu, mazingira na ujenzi wa mji unaokuwa kwa kasi, hali hii pia imechochewa na kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya lami inayounganisha Dodoma na iringa, ambapo kwa sasa Kanda ya Ziwa na kaskazini zimeunganishwa na nyanda za huu kusini na kupelekea kufunguka fursa zaidi za kibiashara.
Kwa sasa Iringa ni HUB.
Pamoja na mengine mengi.
Nihitimishe kwa kupongeza serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na pia hongera sana ndugu zangu wana Iringa, ongezeni juhudi.
Asanteni sana.
Iringa town,
View attachment 399626View attachment 399627
View attachment 399628View attachment 399629View attachment 399630
View attachment 399632
View attachment 399634
View attachment 399635
View attachment 399636
View attachment 399637View attachment 399638View attachment 399639View attachment 399640
Nina hamu sana ya kutembelea Iringa, natumai mwaka huu hautoisha. Asante sana ndugu 'game over' kwa kutuletea huu uzi.Makubwa!Tumaini ndio iringa university imebadilishwa jina
nilitaka kujua mengi kuhusu mkoa huo nilivyoona Kichwa cha habari kumbe ndani hamna kitu zaidi ya mapichapicha tu.... nimemshauri mkuu akajipange upya atuletee full detail hii ni changamoto nimempa.Muungwana huongezea nyama kwenye mapungufu sio kuanza kuponda,kwa kweli namsifu mtoa uzi hata kwa picha alizoziweka tofauti na wewe uliyekaa kimya.Kwangi mimi ambaye sijafika imenisaidia kuona taswira fulani kama eneo ambalo liko livable.Hivyo vilivyosahaulika tujuze mkuu badala ya kumkashifu
Nashukuru mkuu barbosa, yapo mengi ya kujivunia kuhusu iringa, binafsi nikizeeka nitarudi iringa,
To me This is the best town in Tz.
Picha zangu haziko vizuri ila kama unazo tuletee, ni faraja sana kuona picha za mji wa iringa.
Umenikumbusha mbali mkuu Frelimo ndo nilikua nakaa then Ilala niliandikishwa darasa la kwanza mwaka 1988 ila kabla ya kuanza shule dingi akapata uhamisho kurudi Dariringa unakua siku hizi naona frelimo imepgwa lami barabara mpaka ilala
Sio kama zamani, baridi yake siku hizi ni ya kawaida tu.Mh..IRINGA kuzuri aisee...ila naski baridi ndo KIBOKO yao
papo pouwa iringa siku izi lami tu mpaka mkimbizi,tumaini na flerimoUmenikumbusha mbali mkuu Frelimo ndo nilikua nakaa then Ilala niliandikishwa darasa la kwanza mwaka 1988 ila kabla ya kuanza shule dingi akapata uhamisho kurudi Dar
Mkuu huyu TAKO si alikua muhindi au?? Kma namkumbuka hv Maana at that time naenda hapo nilikua na miaka kma mitano hvMitaa flani ya sabasaba hapa jirani zamani palikua na mgahawa mmoja maarufu wa Tako. tumepiga sana chai na cake hapa
View attachment 399937