Hii ndio Iringa halisi na watu wake

Hii ndio Iringa halisi na watu wake

Ipogolo , industrial area.
1473915486170.jpg
 
pureke. Nimekaa sana kilolo kule madiba kuna sehemu inaitwa kariakoo, tumepiga sana monde pale
 
Mkuu naomba sifau au mapungufu ya wanawake wa kihehe maana naona 98% nahisi nitakuja kuoa mhehe
Niwavumilivu sana hawa wanawake aisee ila wanaa shida moja ukimuudhi huwa wanatunza sana moyoni na huwa hawaongei ila siku mambo yakimzidia kuna mawili kama sio kukucharanga mapanga basi ni kujiua yeye vagaya sida hao.,ila ukiwajulia wanaupendo na niwavumilivu sana tena sana hawana shida ila uwe mwepesi sana wa kutambua kisa lako na kukaanaye kuyamaliza hapo hawana shida.
 
Ipogoro,gangilonga,wilolesi,makanyagio ilala
 
Nashukuru mtoa Mada kwa kuisifia Iringa. Kwa nyongeza ni kuwa; Iringa ni hub ya UTALII kwa nyanda za juu kusini ambapo kuna vivutio vingi vya UTALII hasa ikiwemo historian ya chifu mkwawa vs wajerumani. Mwezi Juni mwaka huu mkoa umezindua makumbusho ya kiutamaduni ya mkoa(Iringa Cultural Museum)
Pili kwa wageni mnaokuja Iringa kuna kituo cha kutolea taarifa za utalii kipo kwenye garden ya Manispaa karibu na posta. Hapo unaweza kujua mengi zaidi kuhusu Iringa.
kwa fursa nyingi za UTALII zilizopo tunahamasisha vijana kuzitumia fursa hizo mnakaribishwaà.
 
Asante kwa hii habari njema mkuu.
 
Dah aisee kumbe Iringa pazuri tofauti na taswira niliyokuwa nayo before.Shukrani mkuu kwa kutujuza

Mi binafsi ungeniambia iringa kuko hivyo bila picha ningekutendea kosa la saibaaa kiraimu bila kujali kama Nina m 7.
 
Rekebisha hapo kwenye IMTV mkuu ilishaondoka automatically kutokana na mambo ya digital aka ving'amuzi pia sio chuo cha ustawi wa jamii bali maendeleo ya jamii
 
Back
Top Bottom