Hii ndio Iringa halisi na watu wake

Hii ndio Iringa halisi na watu wake

Mimi pia ni makazi yangu sasa nina miaka 2...aaaah,I just love this town. Wakati nahamia huku kutoka dar nilipatwa na mawazo sana,sikujua kama ntaweza kuuzoea hii mji. Iringa kuzuri...karibuni sana ambao hamjawahi kufika ..
Kila nikipita Iringa lazima niingie pale Miami.
Bar ya miaka mingi lakini pale jikoni kwa kipara kuna nyama choma safiiiii..
Iringa kuna mahindi ya kuchoma murua kabisa karibu wakati wote wa mwaka.
Mji mzuri sana ule.
 
Mkuu ile redio nyenza na ebony fm (hot fm) ilisizi nini.. Siioni hapo kwenye list
Aisee, hot fm ilianza vizuri, ilikuwa ikifanya broadcasting kwa kingereza but suddenly ikapotea hewani..
Natumaini humu Kuna wenye majibu ya hili.
 
Kwa kweli iringa sitapasahau. My favourite town.mara ya kwanza ilikua 79 nilipita na mdingi pale ni kakatwa kuingia kwenye bus la railway.sijui dingi hakulipa tkt sielewi. Nikapitishwa dirishani,82 nilifika kwa mjomba pale mkwawa chuoni nikiwa mdogo kabisa.then nikapita tena 88 nikielekea Singida,92 nikapita tena nikienda Mbeya. Hapo bado mdogo ndo teenager age. nikapita ya mwisho 93-94.halafu basi king kross la Boda mtera halikutokea , sijui lilikwama wapi.tumekaa siku 2 pale stand.ndio shala wambe akatukodisha bus tufike mtera. Siku 2 hizo ilikua ni kubwia ulanzi kwa kwenda mberee.nilikua na 1700 enzi hizo iliisha.hadi nauli nililipa ya kuunga unga.
Karibu sana tena mkuu. Kwa sasa safari ya Dodoma- Iringa ni mwendo wa masaa matatu tu, sio masaa8 kama zamani.
 
dah umenitia huzuni sana...nateseka dar wakat kukae kuzuri tuu...bora niludi gangilonga kwetu
Rudi mkuu, usijipe stress aisee, andaa mil5, njoo ununue shamba la ekari 30 na upande miti ya mbao huku kwetu kilolo, baada ya miaka 9-15 utavuna 800-900mn,
Don't waste your time out there.
 
Kila nikipita Iringa lazima niingie pale Miami.
Bar ya miaka mingi lakini pale jikoni kaa kipara kuna nyama choma safiiiii..
Iringa kuna mahindi ya kuchoma muria kabisa karibu wakati wote wa mwaka.
Mji mzuri sana ule.
Halafu mahindi yake hayahitaji pilipili...ni sweet corn matamuuu.
Nyama choma ya Miami balaa..sasahiv kuna club VIP na Laparte huko tena ndugu zetu wa chuo Ijumaa na Jmosi aaaaah....teleeeee
 
Rudi mkuu, usijipe stress aisee, andaa mil5, njoo ununue shamba la ekari 30 na upande miti ya mbao huku kwetu kilolo, baada ya miaka 9-15 utavuna 800-900mn,
Don't waste your time out there.
Aisee....hata akishindwa kununua shamba la miti anaweza akafanya kilimo cha mboga mboga...nyanya,pilipili hoho,kitunguu,nyanya chungu zinastawi vizur sana
 
Halafu mahindi yake hayahitaji pilipili...ni sweet corn matamuuu.
Nyama choma ya Miami balaa..sasahiv kuna club VIP na Laparte huko tena ndugu zetu wa chuo Ijumaa na Jmosi aaaaah....teleeeee
Anhaaa....nikipita mitaa ya huko nitazitembelea..
Enzi hizo tulikuwa tunapiga bottoms up mitaa ya miyomboni au uhindini..sikumbuki sawa sawa jina.
 
Karibu sana tena mkuu. Kwa sasa safari ya Dodoma- Iringa ni mwendo wa masaa matatu tu, sio masaa8 kama zamani.
Ile njia ya mtera karibu inakamilika yote halafu hivi punde ile Dodoma- Arusha kupitia Kondoa itakuwa tayari.
Utaweza kupiga safari ya Iringa Arusha kwa gari private ndani ya masaa 8 au 9 tu.
 
Ile njia ya mtera karibu inakamilika yote halafu hivi punde ile Dodoma- Arusha kupitia Kondoa itakuwa tayari.
Utaweza kupiga safari ya Iringa Arusha kwa gari private ndani ya masaa 8 au 9 tu.
Mkuu, barabara ya Dodoma -iringa imekamilika kwa 100%, au ni njia gani unazungumzia?
 
Nikifika iringa break ya kwanza ni kwenye vibanda vilivyopo karibu na jengo la ccm mkoa kwa ajili ya kitimoto pale dah sitoacha kuja iringa jamani
 
Tanzania nzuri jamani. Mwaah
Kabisa, nchi yetu imepiga hatua, pamoja na changamoto zote za kiutawala, kama hali itaendelea hivi nadhani kwa miaka 15 ijayo watz tutakuwa ni watu miongoni mwa watu.
 
Back
Top Bottom