upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,086
- 4,522
Hivi ni kweli kuwa Iringa mbwa huwa hawagongwi na magari kama kwingineko au ni usafi tu wa wana Iringa hivyo huwa mnawahi kuondoa mizoga barabarani?
Kwa kweli iringa sitapasahau. My favourite town.mara ya kwanza ilikua 79 nilipita na mdingi pale ni kakatwa kuingia kwenye bus la railway.sijui dingi hakulipa tkt sielewi. Nikapitishwa dirishani,82 nilifika kwa mjomba pale mkwawa chuoni nikiwa mdogo kabisa.then nikapita tena 88 nikielekea Singida,92 nikapita tena nikienda Mbeya. Hapo bado mdogo ndo teenager age. nikapita ya mwisho 93-94.halafu basi king kross la Boda mtera halikutokea , sijui lilikwama wapi.tumekaa siku 2 pale stand.ndio shala wambe akatukodisha bus tufike mtera. Siku 2 hizo ilikua ni kubwia ulanzi kwa kwenda mberee.nilikua na 1700 enzi hizo iliisha.hadi nauli nililipa ya kuunga unga.
Nimebakiza mikoa miwili tu mkuu, I hope this year nitaimalizia!Sijafika iringa.nimetembea Tanzania yote nimeacha mikoa minne iringa ikiwemo,Na kama unayoyasema NI sahihi basi watanzania hawapaswi kuishi diaspora NI heri warudi nyumba ni wafanye mambo nikiwemo Mimi mwenyewe.
Acha wivu, kihoro kitakumaliza kijana khaa............asa hapo tufanjeje?
Labda ulienda kutembea tu iringa hainaga watu wapuuzi wa type yako...Naipenda Iringa, ndiyo mji mzuri na niupendao kuliko yote Tanzania, umesahau jiwe la Gangilonga nilishapanda mara nyingi tu hadi juu!
One love kwa masela wote pale Shooters downtown tulikuwa tunacheza billiards (polltables) na kushushia na bia bariiidi!
Long live Iringa, my home of Choice, Nitarudi Iringa Mungu akipenda!
![]()
daah umenikumbusha mbali sana mkuu enzi hizo tukiwa watoto tulikuwa tunatoka kwetu frelimo kwenda kula koni kwa tako....it was soo funny!!Mitaa flani ya sabasaba hapa jirani zamani palikua na mgahawa mmoja maarufu wa Tako. tumepiga sana chai na cake hapa
View attachment 399937
Hatari, utakuwa umesoma Tosa boys,umeanza vizuri umeharibu kusifia hii serikali.anyway watani zangu nyie nakumbuka ulanzi na figiri kule tosa na lupalama.was good indeed isee
Hatari, utakuwa umesoma Tosa boys,
Ulanzi msimu huu kidogo unasuasua, si unajua mvua zimegoma,
BTW, sio mbaya kutoa credit panapohitajika.. Hii barabara ya Iringa-Mafinga nadhani wapiga dili hawakuifikia, imekaa poa sana,
Nyangusage hao... Mwanamke wa kihehe lazima agongwe nje hata kama ana mume... Huwa hawajui kukataa....Mkuu naomba sifau au mapungufu ya wanawake wa kihehe maana naona 98% nahisi nitakuja kuoa mhehe
Kwa hali ilivyongumu watu wanataka kurudi diaspora we unawaambia waliopo diaspora warudi bongoView attachment 426357
Karibuni iringa jamani, mlioko diaspora rudini tujenge nchi sasa, ni dhahiri unachokipata diaspora utakipata hapa Tz katika miji kama Iringa na miji mingine japo utahitajika kijibidisha kiasi.
God bless Tanzania.
Heheheeee tako dogo mitaa ya posta na tako kubwa mitaa ya kihesa. Natamani enzi zile zirudidaah umenikumbusha mbali sana mkuu enzi hizo tukiwa watoto tulikuwa tunatoka kwetu frelimo kwenda kula koni kwa tako....it was soo funny!!

Muongo mkubwa weeNyangusage hao... Mwanamke wa kihehe lazima agongwe nje hata kama ana mume... Huwa hawajui kukataa....