Malizana na kijumbe wa Vicoba kwanza acha papara....maana unaweweseka utafikiri umeshikwa na degedege + tumbo la kuhara.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mleta Hoja, kasema jifuzeni kujibu kwa Hoja...
Sasa hiyo![]()
ni hoja?
Sent using Jamii Forums mobile app

Kila aliye tofauti na chadema matusi ni halali yake!Hata Lissu akiuwawa bado mzimu wake utawatesa sana. Sijui kwa nini Viongozi wa dini hawakupongeza juhudi zilizopelekea Lissu kumiminiwa risasi!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee... mimi sio chadema wala CCM lakini ninaamini wewe ni ZUZU! Serikali ndio ina wajibu wa kuleta maendeleo sio mbunge, maana serikali ndio yenye kodi na mapato!Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Very inept argument. Truly inept. So inept it makes one almost feel sorry for its scribe.Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Umeshamalizana na Vicoba mama?Aiseee... mimi sio chadema wala CCM lakini ninaamini wewe ni ZUZU! Serikali ndio ina wajibu wa kuleta maendeleo sio mbunge, maana serikali ndio yenye kodi na mapato!
Sent using Jamii Forums mobile app
Taabu na kilio ni cha nchi nzima na katika majimbo yote ya wapinzani na ya CCM,ila katika majimbo ya CCM ni marufuku wabunge wa CCM kieleza taabu wanazopata wapiga kura wao, wanatakiwa waunge mkono hali zote, hali ya raha na hali ya shida, hali zote wanatakiwa waseme sawa mzee.Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Nimewaambia wamjibu kwa hoja.Uzuri wa Lissu hawatamuweza maana hoja zake zimejaa facts na daima ukweli haujawahi shindwa na uovu
Mlishamshindwa kwa hoja tangu siku nyingi na mkaona njia sahihi kumjibu ni kutumia risasiNawaomba msipate shida sana . Hiki mnachokifanya hakitawasadia kabisa.
Nimemfahamu Lisu kwa miaka kumi sasa. Ila nilimfahamu zaidi alipoingia bungeni. Lisu ni mtu aliyejijenga sana katika umahili wa kujenga hoja . Akiwa kama waziri kivuli wa katiba na sheria , amekuwa akijenga hoja nyingi sana ambazo zinasababisha mjadala mkali sana kwenye jamii. Nakumbuka kipindi kile cha bunge la katiba, Lisu alisababisha mtafuruku mkubwa sana.
Sasa basi dawa ya Lisu ni hoja tu ,lazima hoja zake zijibiwe kwa hoja hapa tutamuweza. Sitaki kuamini eti hakuna hata mtu mmoja anayeweza kumjibu Lisu kwa hoja . Chama cha mapinduzi kina hazina ya viongozi wengi sana tena wenye ujuzi mkubwa , kwa nini mnaacha huyu jamaa anatamba namna hii , hebu anzeni sasa kujibu hoja zake kwa hoja.
Dawa ya hoja ni hoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watatoa hoja wapi, sana sana wanawaza namna ya kumweka ndani lakini kivipi. Defensive yao ni kutumia polisi na kumbandika case ya uchochezi ila this time mjomba yuko juu yao
Tofautisha kuwa adui wakisiasa na kuwa adui wa state. Adui wakisia anajibiwa kisiasa ila Lissu kutoka siasa mpaka kuwa adui wa state.. Mm mama mkanye mwanaoNawaomba msipate shida sana . Hiki mnachokifanya hakitawasadia kabisa.
Nimemfahamu Lisu kwa miaka kumi sasa. Ila nilimfahamu zaidi alipoingia bungeni. Lisu ni mtu aliyejijenga sana katika umahili wa kujenga hoja . Akiwa kama waziri kivuli wa katiba na sheria , amekuwa akijenga hoja nyingi sana ambazo zinasababisha mjadala mkali sana kwenye jamii. Nakumbuka kipindi kile cha bunge la katiba, Lisu alisababisha mtafuruku mkubwa sana.
Sasa basi dawa ya Lisu ni hoja tu ,lazima hoja zake zijibiwe kwa hoja hapa tutamuweza. Sitaki kuamini eti hakuna hata mtu mmoja anayeweza kumjibu Lisu kwa hoja . Chama cha mapinduzi kina hazina ya viongozi wengi sana tena wenye ujuzi mkubwa , kwa nini mnaacha huyu jamaa anatamba namna hii , hebu anzeni sasa kujibu hoja zake kwa hoja.
Dawa ya hoja ni hoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaomba msipate shida sana . Hiki mnachokifanya hakitawasadia kabisa.

Si adui wa taifa ni wa serikali, tofautisha serikali na taifa, uadui wake uonekana Kwa kusema kweliTofautisha kuwa adui wakisiasa na kuwa adui wa state. Adui wakisia anajibiwa kisiasa ila Lissu kutoka siasa mpaka kuwa adui wa state.. Mm mama mkanye mwanao
Ningekuwa raisi ningemtumia Sana tundu lissu,ningechukua mawzo yake na kuyafanyia kazi kwasababu Ni mtanzania mwenzangu,Sasa huyu jiwe anamtia risasi,ila akili za jiwe sijui anafikiri kwa kutumia makalio
Sent using Jamii Forums mobile app