Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,879
- 8,800
and actually wanaotuburuza si wanaccm wote milioni kumi na nne,bali ni ka kikundi kadogo ka watu wasiozidi 1000 ambao wanalindwa na watoto wetu wenyewe,baba zetu ,mama zetu na ndugu zetu wengineKusema ukweli ni ubwege. Shida mabwege ni wengi mno na wengi wao wanaimba mapambio.