mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 12,126
- 8,836
Mzee Nassoro Moyo asili yake ni Songea huko zenj alihamia tu na ana nyumba yake pale karibu na uwanja wa MajiMaji ila sasa hao ndio wanajifanya Wazanzibari na kuikana Tanganyika, wamesahau kile kisiwa hakina mwenyewe wote ni wahamiaji tu ndio maana pale kuna Wakomoro,Wachina,Waarabu,wangazija,wamakonde,wanyasa,wanayamwezi,wakurya,wamanyema na hata wanyakyusa!Hii nchi ngumu sana!
Tanganyika ukitaka kuiona basi ni hapo TAMISEMI - ila sasa tumeletewa DC huyu Mohamed Hasan Moyo ambaye kwa mujibu wa taarifa ni mzanzibari!
Isitoshe kumbe ni baba watoto wa Wanu na ndo mume wa kwanza - Mchengerwa ni mume namba mbili! Yaani mmekosa nchi nzima mtu wa kumweka DC hapo?
Ama kweli wanaona Tanganyika ni kiosk chao cha Kizimkazi!
Nikiwaambia #SamiaMustGo muwe mmanielewa!
#TutaelewanaTu