Hii Nchi hii asee kwahiyo Yeriko Nyerere naye ni jasusi?

Hii Nchi hii asee kwahiyo Yeriko Nyerere naye ni jasusi?

L

Labda Chasusi hapo sawa😊😀
Broo Mshana Jr unakumbuka kisa cha mtumishi Obadia na mfalme ahabu wa Israeli [Bibilia kitabu cha 2 Mambo ya nyakati 21:20]
Obadia alitaka kuzikwa na mfalme ahabu.
Kiufupi yeriko ni Obadia na Mbowe ni ahabu.
Yeriko ameanza kuwa wahovyo baada ya mbowe kupata mpinzani wa kweli ambaye ni lissu.
 
Jasusi bamia matopeni
20251003_231325.jpg
 
Yeriko nimiongoni mwa vijana wanao amini katika mtu na sio Sera na mifumo
Yupo tayari kufa kwa sababu ya boss wake.
Yeriko amekuwa wa hovyo mara baada ya mbowe kupata mpinzani wa kweli ndugu Tundu lissu
Huyu jamaa ni moja ya watu wajinga kupindukia. Kauli ya kusema mbowe ndo Alfa na Omega maana yake Mbowe anauwezo wakuja kwakwe akamfanya anachotaka yeye bila bughuza yoyote Ile!
 
Back
Top Bottom