Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,018
- 1,509
Habari za Saa hizi wakuu? ifuatayo ni orodha ya tabia mbaya wanazozifanya wapendanao;-
1/Kuzungumzia udhaifu wa mpenzi wako kwa watu wengine ni Tabia mbaya...
2/Kushindwa kumaliza tofauti zenu nyinyi wenyewe mpaka mshirikishe watu wengine hii nayo ni Tabia mbaya...
3/Kumlazimisha mwenza wako akufanyie jambo asilolipenda ili tu akuridhishe wewe hii nayo ni tabia mbaya...
4/Kuweka mtandaoni mambo ya faragha mliyoyafanya na member mwenzio bila ya ushauri wake hii nayo ni tabia mbaya...
5/Kumfanyia fujo au kumtolea maneno machafu MTU uliyemuomba penzi akakukatalia hii nayo ni tabia
mbaya...
6/Kumtumia mtu anaetaka kuishi na wewe haliyakua hupo tayari kuishinae hii nayo ni tabia mbaya...
7/Kumlazimisha mtu asiekupenda, akupende hii nayo ni tabia mbaya...
8/Kutangaza kuwa Fulani ni mpenzi wako wakati si kweli hii nayo ni tabia mbaya...
9/Kumfananisha mwenza wako na wazazi wako hii nayo ni tabia mbia...
10/Kumnyima mwenza wako penzi pasi na sababu ya maana hii nayo ni tabia mbaya...
Karibu wakuu, mwenye nalo na aongeze ili kuwekana sawa.