Hii namba inamsumbua mke wangu

Hii namba inamsumbua mke wangu

Inamaana wewe pamoja na mke wako mmeshindwa kabisa kumblock huyo anaemsumbua mpaka umekuja kuomba ushaur Jf kwel??? We utakua hujaoa wewe
 
Hata kama ungekuwa wewe ungeitelekeza mkuu. Mabaharia wamemkalia kooni wanampa makwenzi si kawaida. Atajuta kuanzisha hii sredi. Awaombe tu mods waifute [emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli kabisa aisee hadi aibu kama ni mimi ndie niliye-post huu ugoro! Mabaharia wanamwomba aweke hadharani namba ya nkewe! Vijana sijui wanakwama wapi?
 
Back
Top Bottom