Hii namba inamsumbua mke wangu

Hii namba inamsumbua mke wangu

Habari wakuu...

Siyo jambo la kawaida lakini imenibidi kuianika hiyo namba kwasababu huyo jamaa anamsumbua sana mke wangu (kwenye simu)

Ukiona tu chatting zake unagundua wazi kabisa ni mtu asiye na uelewa sana hata nilipompigia simu nikimsikiliza lafudhi yake anaonekana ni wa kawaida ila anasumbua sana

Wataalamu mpo wezi mpo matapeli mpo namba hiyo kazi kwenu!
Mkuu sijajua kama.inawezekana futa tu
Hii post utaongeza idadi ya mume WENZAO.KWENYE ndoayakoooooo
Humuu wamejaaaa mabaradhurii mwanzoo.mwishoooo muulizee......alieomba msaada hahahaaa
Walijifanya watu mabintihumu WAKAPEWA namba......LEOO analiaaa
Kwioookwiioo
 
Nimeshindwa kumshauri wenye uwezo wa kumshauri jamaa msipuuzie wanaanza hivi hivi baadae utasikia kajitundika mapenzi ni sumu kali sana...
 
Habari wakuu...

Siyo jambo la kawaida lakini imenibidi kuianika hiyo namba kwasababu huyo jamaa anamsumbua sana mke wangu (kwenye simu)

Ukiona tu chatting zake unagundua wazi kabisa ni mtu asiye na uelewa sana hata nilipompigia simu nikimsikiliza lafudhi yake anaonekana ni wa kawaida ila anasumbua sana

Wataalamu mpo wezi mpo matapeli mpo namba hiyo kazi kwenu!
Kwani ameipataje namba ya mkeo?
Isije kuwa anamtafuna mkeo
 
Habari wakuu...

Siyo jambo la kawaida lakini imenibidi kuianika hiyo namba kwasababu huyo jamaa anamsumbua sana mke wangu (kwenye simu)

Ukiona tu chatting zake unagundua wazi kabisa ni mtu asiye na uelewa sana hata nilipompigia simu nikimsikiliza lafudhi yake anaonekana ni wa kawaida ila anasumbua sana

Wataalamu mpo wezi mpo matapeli mpo namba hiyo kazi kwenu!
Sikia,uko mkoa gani upi,nenda kqa mkuu wa tcra wa huo mkoa ulipo hiyo namba itafungwa haraka sana
 
Comments za humu zinachekesha sana. Halafu eti mtu una depression unataka kujiua unakuja kuomba ushauri humu. Haki ya nani hata kama ulikuwa unatania unaweza kubadilisha mawazo ukawa siriazi. Long live JF !!!
 
Tapeli mwenyewe
Habari wakuu...

Siyo jambo la kawaida lakini imenibidi kuianika hiyo namba kwasababu huyo jamaa anamsumbua sana mke wangu (kwenye simu)

Ukiona tu chatting zake unagundua wazi kabisa ni mtu asiye na uelewa sana hata nilipompigia simu nikimsikiliza lafudhi yake anaonekana ni wa kawaida ila anasumbua sana

Wataalamu mpo wezi mpo matapeli mpo namba hiyo kazi kwenu!
 
Samahani huyo jamaa anamsumbuaje mkeo? Alipata wapi namba ya mkeo? Unasema umempigia cm anaonekana mtu ambaye hana uelewa. Bro achana na mtu anaitwa mwanamke. Kuna siku nilikuwa sehemu nikashuhudia mke wa mtu tena level ya juu anatoka kukazwa na muuza mchicha! Toka siku hiyo nikajisemea kama alishindwa Adamu nitaweza mimi au wewe. Mbane mkeo kwa maswali magumu. Ukishindwa futa namba ya mkeo usajili upya. Mwisho ACHA TABIA YA KUPEKUA CM YA MKEO
Wauza mboga madereva na mafundi watu hatar sana
 
Hapo mwenye matatizo ni mke wako na sio huyo jamaa.
Maana mpaka wamefikia ku chat ingekua mke wako hataki mawasiliano nae angesha acha kupokea simu za na kujibu jumbe zake.
 
Bwashee, mkeo namdai, nilimkopesha hataki kunilipa. Muulize vizuri.

Umeamua kunileta JF kwamba mimi ni wa kawaida na sina uelewa! Niombe radhi, la sivyo nafanya kweli.
 
Back
Top Bottom