Maisha ya zamani ilikuwa raha tupu:-
''Ingia bandani kamata kuku wawili tuchinje''
''Ingia shambani vunja mahindi tuje tuchome''
''Chemsha kahawa hapo jikoni ulete tunywe huku ukinihabarisha habari za huko nyumbani''
''Hadithi hii inatufundisha nini wajukuu zangu?''
Nyakati hizi huwezi kupata hizi kauli.