Kismayo ni wapi?Ningekuwa wewe muda huu niko Kismayo au Mogadishu
Kumbe kamaHuu mwandiko mbona kama wa Half american
OverNiliombwa
😀 ReminiscentKumbe kama
100% sahihi, mimba siyo yake. Yaani siku 3 baada ya hiyo shughuli mtu anakwenda kupima mimba inakuwa positive, hilo peke yake siyo sawa!Kama takwimu ulizoweka ni kweli, mimba sio yako, mana umekutananae tar 23, siku ya 24 ya mzunguuko, hapo ilikua bado siku tano aingie hedh nyingine.
Mngekutana kati ya tar 9 hadi 18, in between chochote ungekua mhusika.
Kwa 100% umepigwa.Habari,
Msaada wenu wanajukwaa
Mara ya mwisho kuingia hedhi ni tarehe 30 mwezi wa tatu, nimesex nae tarehe 23 mwezi wa 4, leo tarehe 27 amepima ana mimba.
Hii mimba ni yangu?
Jee kipimo kile cha mkojo kinaweza kutoa majibu baada ya siku nne after sex?
Kwishe ww habari yakoNiliombwa
Alee tu! Aache kukwepa majukumu👿Ulipiga hukupiga?
Tuanzie hapo kwanza 🤒
Aha ha ha umeshapigwa za uso hapo. Je.mwezi wa 3 ulisex.naye mwisho tarehe ngapi?Habari,
Msaada wenu wanajukwaa
Mara ya mwisho kuingia hedhi ni tarehe 30 mwezi wa tatu, nimesex nae tarehe 23 mwezi wa 4, leo tarehe 27 amepima ana mimba.
Hii mimba ni yangu?
Jee kipimo kile cha mkojo kinaweza kutoa majibu baada ya siku nne after sex?
Kama wa HamissaTumia kinga kuepusha mimba zisizotarajiwa... Ungetumia usingekuwa na wasiwasi
Anyway jiandae kulea tuu akiwa wa kike utapata ng'ombe
We mzee na Ngono ni kama chupi na tako😂😂😂Sasa unatomber na kondom sii bora upige nyeto tuu ya mlenda vuguvugu