Hii mimba ya kwangu au nimepigwa?

Hii mimba ya kwangu au nimepigwa?

Habari,

Msaada wenu wanajukwaa

Mara ya mwisho kuingia hedhi ni tarehe 30 mwezi wa tatu, nimesex nae tarehe 23 mwezi wa 4, leo tarehe 27 amepima ana mimba.

Hii mimba ni yangu?

Jee kipimo kile cha mkojo kinaweza kutoa majibu baada ya siku nne after sex?
Nenda clinic utaambiwa hiyo mimba ina umri gani. Maana naona kama uliwekewa tomato kwenye pad.
 
Wazee walishajua haya ndio mana wakasemaga "Kitanda hakizai haramu"
 
Hiyo mimba ya kwako kabisa Boss
Wanaosema umepigwa, waulize walikuwa na pass gani ya Biology kidato cha nne?
Hedhi tar 30 March +5+12+7 =
Hivi vijana wa kizazi hiki mnajiaminije kwenda PEKUPEKU kwa mtu ambaye sio mke wako? Hamuongopi UKIMWI, MIMBA, Hepatitis B nk
We ni kilaza unaejiona unajua, hakuna kipimo cha mimba cha kawaida kita detect mimba ndani ya siku tatu,

Pili, kutoka tar 30 hadi 23, ni siku 24, way out of danger days. Pumbaf wewe
 
Habari,

Msaada wenu wanajukwaa

Mara ya mwisho kuingia hedhi ni tarehe 30 mwezi wa tatu, nimesex nae tarehe 23 mwezi wa 4, leo tarehe 27 amepima ana mimba.

Hii mimba ni yangu?

Jee kipimo kile cha mkojo kinaweza kutoa majibu baada ya siku nne after sex?
Hebu weka picha ya mbususu yake nitakuambia kama ni yako au la?
 
Mimba ya kwako wewe si ndo unayepata hedhi kila mwisho wa mwezi..!!
 
Back
Top Bottom