Kama kipi hakiko waziNi ngumu kwa kujiridhisha kwa kuomba msaaada hapa jf... kuna vingi ambavyo havitokuwa wazi hapa ili kusaidia wadau watoe majibu sahihi zaidi.
Tunarudi pale pale mimba zingine mnajitakia vijana..
Tulia uitwe "Baba naniliu" wewe...Habari,
Msaada wenu wanajukwaa
Mara ya mwisho kuingia hedhi ni tarehe 30 mwezi wa tatu, nimesex nae tarehe 23 mwezi wa 4, leo tarehe 27 amepima ana mimba.
Hii mimba ni yangu?
Jee kipimo kile cha mkojo kinaweza kutoa majibu baada ya siku nne after sex?
Sawasawa kaka.Oya laza mshale mapema toka nduki mwendo wa ngiri hicho kijusi kina mwenyewe
Sasa unatomber na kondom sii bora upige nyeto tuu ya mlenda vuguvuguTumia kinga kuepusha mimba zisizotarajiwa... Ungetumia usingekuwa na wasiwasi
Anyway jiandae kulea tuu akiwa wa kike utapata ng'ombe
Shtuka mimba ya kusomq siku 4Niliombwa
Ushauri wangu mkubwa ni kwenda hospitali au kliniki kufanya vipimo vya kitaalamu ili kupata majibu sahihi zaidi.Kama kipi hakiko wazi
Kuna wenye mizunguko mirefu, na wengine yao haieleweki. Ila kama ni mwanamke wa kawaida, siku ya 23 umepigwa.Siufahamu.
Daah Magufuli alisingiziwa mengiN mimba yako hy, ili kumkomoa mwambie akupe mimba yako ukae nayo Mwnyw 😎
Mara ya mwisho kuingia hedhi ni 30 March,,,,je ndiyo siku damu ilipoanza kutoka au ndiyo ilikata?Habari,
Msaada wenu wanajukwaa
Mara ya mwisho kuingia hedhi ni tarehe 30 mwezi wa tatu, nimesex nae tarehe 23 mwezi wa 4, leo tarehe 27 amepima ana mimba.
Hii mimba ni yangu?
Jee kipimo kile cha mkojo kinaweza kutoa majibu baada ya siku nne after sex?
Inasikitisha sana mkuu 😭Daah Magufuli alisingiziwa mengi