Hii Midoli inayovalishwa Nguo za ndani za Kike na kusimamishwa hadharani inawaaibisha wanawake na mama zetu!

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Jan 3, 2018
1,816
5,151
Ukihitaji salamu subiri kwanza Boxing day ipite,la sivyo utaambulia Pilau kavu lisilokuwa na nyama!

Leo nilikuwa na wazazi wangu wa kike nilikuwa nawapeleka mahali fulani,sasa mahali nilipokuwa nawapeleka jirani ya huyo mtu aliyepaswa wakaonane nae kulikuwa na duka la nguo za ndani (Lingerie)!

Aisee yaani nimejuta kuwapeleka maeneo yale,ningekuwa najua ndo mambo yako hivyo ningetafuta dereva akawapeleka halafu mi nikaendelea na mishe nyingine!.

Yaani nimekuta midoli ikiwa imevishwa vyupi na namna yale ma midoli yalivyokuwa yamejazia nyama na hips,kiukweli nimeona aibu sana hasa mbele ya mama zangu!,Aiseee hii kitu ni hatari sana!

Ajabu ni kwamba,hii midoli huwa ina mishepu ya kwenda na halafu watu wa madukani pia huivisha chupi zilizobana na kufanya yaonekane kama mtu kabisa!

Midoli ya kiume mara nyingi inavishwa nguo za heshima sana ila ya kike mara nyingi huvishwa vyupi na vingine ni tule tu chupi twenye kamba,sasa unakuta doli lina ndundu ya kufa mtu unaona kabisa kale ka kamba kanapita katikati ya ndundu huku mi hips ikiwa imetuna kama mawe!.

Hayo maeneo ni mazuri ukiwa huna mzazi,ila omba usiwe na mzazi wako maeneo hayo,aiseee ni aibu sana!

Leo nilipanga iwe ni siku ya kukumbuka kumbukizi ya Yesu Kristo na sikupanga kabisa kufanya Uzinzi,ila baada ya kuyaona yale ma midoli nimeona nijikamatie bata mzinga moja nijipigie Mikunyubenga ya kutosha!
 
Hapo afadhali. Kuna maduka mengine unakuta yako uchi wa mnyama hadi unaona aibu kuyaangalia hususani kunapokuwa na akina mama wengi maeneo hayo.

Serikali iyapige marufuku kama ilivyofanya smz japo sijajua imefanikiwa kiasi gani.
 
Kabisa mkuu ni aibu tupu!,Leo nimeona aibu mnooo!
 
Hapo afadhali. Kuna maduka mengine unakuta yako uchi wa mnyama hadi unaona aibu kuyaangalia hususani kunapokuwa na akina mama wengi maeneo hayo.

Serikali iyapige marufuku kama ilivyofanya smz japo sijajua imefanikiwa kiasi gani.
 
Haina shida
Wacha watu wauze
Sio kwamba nguo za ndani ziuzwe kama bangi kwa siri

Sijakataa vyupi kuuzwa mkuu ila nadhani huu utaratibu wa kuivisha midoli vyupi hadharani si sawa,kumbuka pia kuna watoto wadogo wanapita maeneo hayo!

Ukiwa na mwanao binti mdogo au Mzazi wako wa kike mnakatiza maeneo hayo ndo utaelewa ninachomaanisha!
 
Sasa,hapo una hasara gani kama imekusaidia kuamsha nyege? Hakika usingekuwa na wazazi ungeenda kujikwaza sasa.
Ila, acha tu wengine wapelekwe Israel na Saudi Arabia,wangechukuliwa kina wewe. Maana kwa akili hizi! Balaa
 
Sijajata vyupi kuuzwa mkuu ila nadhani huu utaratibu wa kuivisha midoli vyupi hadharani si sawa,kumbuka pia kuna watoto wadogo wanapita maeneo hayo!

Ukiwa na mwanao binti mdogo au Mzazi wako wa kike mnakatiza maeneo hayo ndo utaelewa ninachomaanisha!
Kwamba huyo mzazi wako hapo awali alikuwa havai chupi? Haya, midoli ina makalio. Yeye amezeeka hana. Mtafutie yale yanayoshepu makalio basi.
 
Back
Top Bottom