Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,239
- 9,321
- Thread starter
-
- #21
Mkuu Kuna muda unafika unakubali yaliyo tokea, hujawahi ona huna Kodi ya chumba umerushiwa vitu nje lakini bado unacheka huku moyoni pain la hatariKatika gali hiyo na bado wana maintain emoji, basi bado
Wangetumia emoji za ☠️💀🪦⚰️Katika gali hiyo na bado wana maintain emoji, basi bado
Una points sana mkuu"ninauwakika wewe ndoumeleta huu ugonjwa nyumbani"
Inaonyesha ata mama chanja anacheza mechi za ugenini
Mbona we joanah ulileta Uzi wako humu, hali uliyo kua nayo na unavo jibu nani ange amini kama una umwa ?Na 'mama' kairemba kaandika 'mamah'
Hiyo convo imepikwa
Huyo mume alikua nao hao malaya, alafu kalewa sio kupigwa tu mke alivuliwa nguo yani gauni ilipandishwa kipindi anamkabili malaya Mmoja huyu alie Baki akapandisha gauni ya huyo mke alafu akaishusha chupi, acha mkuu niliumia sana hakuna alie ingilia wote tulibaki kutazamaMume mpuuzi sana, anaruhusu vipi mke kupigwa na malaya mbele yake.
Kwa nini wakati kasema ana uhakika"ninauwakika wewe ndoumeleta huu ugonjwa nyumbani"
Inaonyesha ata mama chanja anacheza mechi za ugenini
Hapo sijui mkuu, ila Kwa sisi mapopo tumeona mengi sana wake wengi wamewaka Kwa tabia za wame zao mana tuliKua tunawaona live, unasema tu hapa mkewe analoUpo sahihi kabisa nimeelewa lakini usiishie hapo tu, kwanini lije swala la ninauhakika wewe ndiyo umeuleta nyumbani? Kwanini isiwe direct tu wewe ndo umeleta ugonjwa nyumbani.
Gen z mkuu hawa sio zama zenu mkuuWangetumia emoji za ☠️💀🪦⚰️
Mkuu Kuna muda unafika unakubali yaliyo tokea, hujawahi ona huna Kodi ya chumba umerushiwa vitu nje lakini bado unacheka huku moyoni pain la hatari
Wamenistua sanaWangetumia emoji za ☠️💀🪦⚰️
Nimefurahi kukuona bro!Na 'mama' kairemba kaandika 'mamah'
Hiyo convo imepikwa
AiseeWamenistua sana
Huyo anajifanya analia ndie kamletea mwenzake ukimwi, wanawake wapuuz sana usiamini machozi yaoHaya mambo yapo kwenye jamii zetu
Kimeumana wazee wa makeboHaya mambo yapo kwenye jamii zetu
HahahaHuyo anajifanya analia ndie kamletea mwenzake ukimwi, wanawake wapuuz sana usiamini machozi yao
Angekua na uhakika 'nina uhakika' isingehitajika, angemtuhumu tu jamaa moja kwa moja kwa kumwambukiza.Kwa nini wakati kasema ana uhakika
Mara nyingi? Kwa statistics zipi?Mara nyingi kwenye ndoa anayeleta UKIMWI ni mwanaume
Mbona we joanah ulileta Uzi wako humu, hali uliyo kua nayo na unavo jibu nani ange amini kama una umwa ?