Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 9,760
- 13,106
hiyo mboga inaitwa mchicha mshenzi ukichanganya na nyingine inaitwa mgagani, ambayo yenyewe ni chungu, mboga hiyo inakua tamu zaidi na ni tiba pia 🐒Mtatuongezea idadi ya watu wanaohitaji kusafishwa damu. Kitu haujawahi kula unamchuuza mwenzako.
kama hujaishi kijijini na wanainchi huwez elewa hiyo kitu, utakua na fikra kama hizo tu ambazo ni upotoshaji 🐒