Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 44,849
- 36,796
hiyo mboga inaitwa mchicha mshenzi ukichanganya na nyingine inaitwa mgagani, ambayo yenyewe ni chungu, mboga hiyo inakua tamu zaidi na ni tiba pia šMtatuongezea idadi ya watu wanaohitaji kusafishwa damu. Kitu haujawahi kula unamchuuza mwenzako.
kama hujaishi kijijini na wanainchi huwez elewa hiyo kitu, utakua na fikra kama hizo tu ambazo ni upotoshaji š